Hii Post ya Khalid Aucho Ina Maana Gani?

Mimi nilichokiona ni kama kawajibu wahandishi wa habari kwa swali aliloulizwa... kusema "No Lies" maana yake alichoulizwa ni kweli.
 
Mbona nyie mnajisemea kuwa Chama anakuja Simba?.kwahyo watu wakisema anakuja Simba mnavimbaaaa
Akuna anayevimba...ni swali tu limeulizwa.

Ukiishughulisha akili yako unaweza kupata jawabu.

Ya Chama achana nayo maana kama anayemtaka ameweza kumwaga mpunga wa Bilioni 2 kwwny Ligi sidhani kama atashindwa kushindana kifedha kwenye sakata la Chama ukizingatia Ibenge ana mtaka Mukoko.
 
ulichoandika kimenifikirisha sana.
 
Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code

Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini

Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Well said mkuu
 
Maskini mjuba anaagana na nembo yake ya Gsm haamini lakini ndicho kinachomkuta
 
Back
Top Bottom