Naimani hizo sherehe zitasaidia kuleta reforms.Tulia kwanza, sherehe za kusherekea kifo cha Ndugai zinaendelea.
Wakuu
Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi.
Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
Mental case.Kwani uwongo,alipona akawa anazurura tu
Alisema siyo rahisi kukubalika kiasi alichoona wajumbe wakimfanyia na akawaambia wengine kuonesha kuwa anakubalika akisahau tabia za kijumbe.
Mshana Jr umenipotezea inbox,kale kajamaa ka kihehe kameshindikana au tuhesabu masaa,kapigwe na radi hapo au tego flan amazing.
My apology niko safarini ngoja nirejee nakukumbukaMshana Jr umenipotezea inbox,kale kajamaa ka kihehe kameshindikana au tuhesabu masaa,kapigwe na radi hapo au tego flan amazing.
Kamenivurugia mipanga mura,kajitu kanadhurumu baba yake anasema tumalizane alipe kanasema hujui nilikotoka na huyu jamaa.
Kuna mwingine alinipiga tukio akaenda kupigwa risasi china kwenye black market huko,lakini haka kahehe kamenitoa kwenye project manifesto yangu ya Miaka saba,mradi wa sasa umepunguza speed sababu ya madhara ya yalotokana na kufeli kwa mradi huu wa kilosa huko ifwagi,mdabulo huko.
In fact wahehe wananikera sana
Mama ni 🔥🔥🔥🔥Wakuu
Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi.
Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
View attachment 3435477
Na KUMBWAGA 😂😂😂🥷
Wakuu
Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi.
Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
View attachment 3435477
Weee mzee daahTulia kwanza, sherehe za kusherekea kifo cha Ndugai zinaendelea.
Acheni dhihaka kwa mkuu wa nchi!Wakuu
Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi.
Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
View attachment 3435477