Hii picha inatufundisha nini?

Hii picha inatufundisha nini?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,942
Reaction score
9,463


jamani hii picha inatufundisha kitu gani cc wa TZ?

attachment.php
 
Kaenda malaysia leo, bila shaka atapiga nyingine!
 
Inatufundisha kula honeymoon visiwa vya carribean raha wajameni..bembea nje nje
 
Huu ugonjwa unahitaji mapumziko ya kisaikolojia.
 
Inatufundisha kuwa ' tuwe na tabia nzuri tukitumwa tukatae'
 
Inatufundisha kuwa,bado tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo kama hayo! Kuwa na umeme wa uhakika kwa 99.9% usafiri wa namana hiyo unawezekana kabisa! Ila kwa bongo bado sana,maana umeme ukikatika ukiwa huko hewani na mpaka huo umeme urudi, ..........debe!
 
kuwa tuwe tunatumia pesa baada ya kuzipata sio kuweka benki.
 
Inatufundiha kuwa tunaenzi michezo yetu ya utotoni kama bembea nk
 
Inatufundisha tutumie ipasavyo kodi za wananchi katika starehe ili tutapokuja kutoka katika URAIS tusije tukajuta kuwa hatukufanya ubadhirifu.
 
Inafundisha kua kubembea kwa nchi yetu si lazima bungeni tu...
Hata pozi ya hapo juu nayo ni kubembea...
 
Ina tufundisha starehe gharama ...jamaa wa pembeni kushoto mbona kama anaogopa nathani wangempekuwa wangemkuta na unprocessed material (ma..v..)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom