Hii picha inatufundisha nini?

jamani hii picha inatufundisha kitu gani cc wa TZ?

attachment.php
Inatufundisha
Kubembea, Urais ni kula maisha kufa kwaja maana urais si kuleta maendeleo bali kufaidi maisha,
 
inatufundisha kuwa, rais anatafuta wawekezaji wa mabembea kwa hali na mali, hapo yupo jamaica akijaribu kumshawishi mmiliki wa hilo bembea aje awekeze ma-bembea kibao huku bongo.....sasa ndio alikuwa analitest aone kama lina fleva gani...
 
kwi kwi kwi uwiiiiii mbavu zinauma sana ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Inatufundisha, kubembea si kwa watoto tu bali na watu wazima tena hata wenye nyazifa kubwa kubwa
 
Pia inatufundisha unaposafiri mbali ongozana na mkeo,na unatakiwa kukaa close naye kama muheshimiwa wetu anavyoonekana yuko beneth na 1st lady.
 
inatufundisha kuwa, rais anatafuta wawekezaji wa mabembea kwa hali na mali, hapo yupo jamaica akijaribu kumshawishi mmiliki wa hilo bembea aje awekeze ma-bembea kibao huku bongo.....sasa ndio alikuwa analitest aone kama lina fleva gani...
Teh! teh! teh! hii kali
 
Bembea ni kwa chekechea tu, ukiona m2 mzima kaipanda ujue kichwa chake ni kama fuu la nazi vile!
 
tupende utalii na tule good time hata kama tunashida zinatukabili na hatuna uwezo wa kuzitatua
 
Back
Top Bottom