Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?

Hii ni protocol ya wapi kwanza? Mkuu wa mkoa wa Dar kutembelea Kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na DC sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni RPC wa Kilimanjaro?

Damn,au huyu bandugu ni waziri? Mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kweli kweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.

Mmh!
Mungu aendelee tu kutenda muujiza wa kutokuzaa kwa huyu forgerer.
Ili kizazi kijacho kiuepuke uovu utokanao na viuno vyake.
 
Hivi kwanini Kilimanjaro kila mara hana kazi za kufanya?mbona wa mikoa mingine hawaji kwake?
wanakuja sana tu ila kimya kimya na wakimaliza issue zao wanasepa kimya kimya ila bashite si unamjua ni mtu wa kick so popote anapokuwa lazima ifahamike...
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.
Acha tu ndugu. Majitu yakishajaa Chuki na Uzandiki hata aone jema kwake ni baya na chuki hutanda mioyoni mwao.
 
Nilijua wanamsingizia kuhusu msafara, leo miko barabarani nasikia king'ora kinakuja nyuma nikawaza mbona rais cjasikia kama yuko mkoa huu kwa utiifu nikaegesha pembeni mara naona cruser ya polisi imetangulia ile ya rangi kama nyeusi mara naona cruser imeandikwa RC DSM na gari kama tatu za PT nikakosa jibu nikamkumbuka yule RC aliyepita wa hapa tunapishana nae njian kama mwananchi wa kawaida
 
Kiitifaki hata Waziri hapokelewi na Mkuu wa Mkoa. Waziri anapokelewa na RAS au DC. RC analazimika kumpokea Rais, Makamu Rais na Waziri Mkuu. That means cheo cha RC kipo kwenye rank moja na Waziri.
Sasa mbona Waziri anampa maagizo Mkuu wa Mkoa??
 
Back
Top Bottom