Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Dar ni mji mkuu wa mikoa yote, hivyo RC wake yuko juu kihadhi! Sawa na president wa USA akitembelea nchi zingine ndogo
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Tatizo lako mwandishi hujui mkuu poo ninani na kwasababu hiyo hutokaa ujue mkuu poo ninani na anamchango gani ktk uongozi huu .

Acha mkuu afanye kazi ,,,He is more than you think ,,don't underestimate him Kwa elimu au ukuu u RC !! Pooo he is more than the one you know !!...ukibisha muulize naniii.
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.

Sasa wew kwa akili yako unahisi unaweza kuelewa nini hapo?
Mambo mengine ni kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili tu. Kama umenielewa niambie nkutumie picha ya uelewa wako na utaelewa kirahisi, hivi vingine mkuu achana navyo ni vigumu kwako.
 
Kwa nature ya sisi Watanzania tulivyo kama makondoo amen amen nakuambia hayana mwisho haya, jamaa anakuja kuwa Rais wa jamhuri!![emoji53][emoji53][emoji53]......... believe me!
Jamuhuri ipi kama ni ya muungano basi tujiandae kuhamia malawi
 
Hizi kazi za msaada ni ngumu sana, ur not free to express what u believe, muda mwingi unakuwa muoga muoga tu.
 
Mbona mama anna kaweka pozi la kawaida tu. Huwezi jua malezi ya wengine sio kila mtu yuo kishari shari kama akina mdee.
Kabila lake la kinyaturu wamekaa kutongozwa tu hawajuagi kingine
 
Mtoa mada. Unaonekana wale sitaki nataka. Hii picha umeitoa huko. Kwa mahaba kabisa. Ulipoona tu Bwana mheshimiwa ukalowa. Ukakosa pumzi. Ukaona uje utuletee uzi usioleweka nia wala malengo. Katika kutangaza ujinga wako unataka kumdhalilisha Mama wa Watu. Huwezi kosa wajinga wenzako wengi tu. Hasa wale wanachama waliongia chama kwa sahihi ya viroba hawajui siasa wao wanapinga mpaka rangi ya chupi walizovaa wenyewe na kussaport hata mavi. Naona wivu. Tu kama wa mwanamke aliyetalikiwa na PM hakuna La ziada. Jitihada zako za kuleta picha ni mahaba tosha. Hongera kwa penzi La sizitaki mbivu hizi. Ukicomment kwa jinga. Ongea Lugha yake. Mnadhalilisha sna JF

Mbona hueleweki? Kwani ukiwa huko lazima usiwe tumamu? So huko pia huwa unatoa mchango kama huu au tofauti? Mana ni hatari kuwa na watu kama wewe kwenye nchi
 
Mama ana heshima sana yule, ukisoma neno sana...utaona ni jambo la kawaida. Heshima wengine huzaliwa nazo. Anaheshimu wadogo, wa saizi yake, wakubwa kwake n.k. Mama namkubali sana, hayo mengine yatapita tu!!. Heshima mbele
 
Back
Top Bottom