Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Jamani sasa heshima si tabia ya mtu tu hasa hasa kama mama wa kitanzania
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Mwanasheria mzima ananyenyekea kwa BASHITE
 
Hivi kwanini Kilimanjaro kila mara hana kazi za kufanya?mbona wa mikoa mingine hawaji kwake?
Anaende kuiga baadhi ya mambo adimu huko na kujaribu kuangalia nini kina wafanya hawa watu wa mkoa huo kuwa binaadabu wasiyo danganyika kwa kofia za kijani na buku 10
 
Kolomije1:23,basi sizonje akasema ni nani asiyemheshimu mwana wa mfalme ?,je ni yule nape au nani basi yeyote atakayethubutu kutokumnyenyekea mwana mtukufu ntamtupilia mbali .
 
Nasikia alienda kny kanakana moja huko moshi inayoitwa RSA rajinder motors ni wataalam wa ku-customise magari yaani ukiwapa gari bovu wanaligeuza kuwa jipya..hivyo alipeleka magari mabovu ya mkoa wa Dar ili yarudishwe upya.
Dar na sifa na ujanja wote ule hawana hiyo karakana??? Interesting
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Sa we ulitakaa akae vipi au asimame vipi?
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.
Bora useme wewe Mkuu.
 
Sasa wew kwa akili yako unahisi unaweza kuelewa nini hapo?
Mambo mengine ni kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili tu. Kama umenielewa niambie nkutumie picha ya uelewa wako na utaelewa kirahisi, hivi vingine mkuu achana navyo ni vigumu kwako.
Mwenyewe hapo unaona umeandika bonge la comment Eeeh!! unasubiri likes tu 😀😀😀😀
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?

Hii ni protocol ya wapi kwanza? Mkuu wa mkoa wa Dar kutembelea Kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na DC sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni RPC wa Kilimanjaro?

Damn,au huyu bandugu ni waziri? Mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kweli kweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.

Wewe wakija wageni kwako huwanyenyekei?adabu ya wapi hii?hebu ondoa ijinga wako hapa!
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.
Kwa desturi tunapaswa kuwanyenyekea na kuwakirimu wageni wetu !mi sioni hoja ya msingi hapo zaidi watu kuvaa miwani wa chuki kijitafutia stress buure!
 
Back
Top Bottom