Hii Picha Imenishtusha sana.

Hii Picha Imenishtusha sana.

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
55,026
Jana nakutana na hii picha ya Mzee wa Upako nazidi kushtuka tena kama kawaida yangu.
IMG-20180813-WA0011.jpeg
 
Mzee wa upako inaonekana afya yake ni dhofu kwa sasa sijui anaumwa nini?
 
"Iliwezekanaje kwa adui kwenye muvi ya It kushindwa kuwadhibiti watoto na inasemwa kile kiumbe hakifi?"

"Shenzi na kifo ni nini kwani?"
 
Inawezekana anafanya mazoezi sana kwa sasa ili kuwa "physically fit". Unene siyo dili siku hizi.
 
Nilimuona kwenye TV anahojiwa mpka nikashangaa baba mchungaji kunani kwenye afya yake
 
Something is wrong with this man of God..
Hakuna kiumbe mwenye nyama na roho aliye salama milele. Kiburi cha uzima kinawadanganya binadamu na kufikia kujiona wao ndo wao. Huyu ni mmoja wapo kati ya viongozi wa dini waliodhani wako juu ya binadamu wote, hadi baadhi ya viongozi wakadhani ukiwa karibu naye ni baraka kumbe ni binadamu wa kawaida mwenye imani na dhambi kama wengine.
 
Huyu jamaa ni mlevi kupitiliza pia anaokota sana mademu wa bei rahisi mitaa ya Kawe,tegeta na kunduchi usiombe umkute amelewa uanze kumshangaa kujifanya unamjua anakamusi ya matusi yote!
Mkuu ya kweli hayo?
 
Back
Top Bottom