Hii Picha Imenishtusha sana.

Huyu jamaa ni mlevi kupitiliza pia anaokota sana mademu wa bei rahisi mitaa ya Kawe,tegeta na kunduchi usiombe umkute amelewa uanze kumshangaa kujifanya unamjua anakamusi ya matusi yote!
kaka ya kweli? au team kakobe wewe
 
Juzi kwenye ibada kaanza kujitetea kuwa watu wanashangaa mzee wa Upako anakonda na kuzeeka. Kawashushua kuwa mnataka abakie hivyo miaka yote?

Kimsingi jamaa hata yeye anajua kuwa kachenji

Na ndio maana siku hizi asilimia 78 ya mahubiri yake ni kujisifia tu na kutoa historia yake, kiufupi jamaa mtaji umebakia mdomoni sasa
 
Back
Top Bottom