mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Inaelekea alikuwa anagawa Sana upako kipindikile Harafu wanawake hata mlikuwa hamsemi!
Aiseee ile movie ya IT ni jau kweli kweli"Iliwezekanaje kwa adui kwenye muvi ya It kushindwa kuwadhibiti watoto na inasemwa kile kiumbe hakifi?"
"Shenzi na kifo ni nini kwani?"
NyambafHata jiwe itafika kipindi tutahadithiana tu,"alikuwepo jiwe, kiongozi mtarajiwa wa malaika" n.k
Rasta ni dini ya kikristo, wao huabudu jumamos sawa kabisa na wasabato. Na hii ndo dini ya mwafrica tofauti na dini zetu za mapokeoHivi rasta imani yenu ipoje? Mnatumia maandiko gani?? Napenda sana utamaduni wa marasta bahati mbaya sijawahi kupata elimu kuhusu falsafa zao,naomba nipe elimu mkuu
Hata kwa Ruge nilisema, bata sana huharibu maisha, udhaifu wa hizi afya zao hutokana na kula bata sana na kusahau mwili.Jana nakutana na hii picha ya Mzee wa Upako nazidi kushtuka tena kama kawaida yangu.
View attachment 835371
Mzee wa upako inaonekana afya yake ni dhofu kwa sasa sijui anaumwa nini?
Kwa sasa hawaoni kama hilo linaweza kutokea, maana utawala wao ni wa duniani mileleHata jiwe itafika kipindi tutahadithiana tu,"alikuwepo jiwe, kiongozi mtarajiwa wa malaika" n.k