Hii Picha Imenishtusha sana.

Mkuu sina sababu ya kumsingizia mimi ni rasta sipo huko kwenye dini za mapokeo!
Hivi rasta imani yenu ipoje? Mnatumia maandiko gani?? Napenda sana utamaduni wa marasta bahati mbaya sijawahi kupata elimu kuhusu falsafa zao,naomba nipe elimu mkuu
 
Sijaona cha ajabu hapo kila Christmas inapunguz maisha ya watu,ndio mana kuna ujana na uzee
 
Ukisoma comments ktk huu uzi utabaini wabongo wengi wanatabia mbaya ya kumzushia mtu mambo wasiyokuwa na uhakika nayo.
 
Binadamu ni kama "unyasi" tu, leo unastawi kesho unanyauka, someni Biblia mtaelewa. Sisi tuliopitia aina zote za maisha tukiona vitu kama hivyo wala hatushangai kabisa maana ni kawaida sana kumtokea binadamu yeyote yule.

ZABURI 103:15-16 na 1 PETRO 1:24-25......"maana mwili wote ni kama majani, na fahari yake yote ni kama ua la majani, majani hukauka na ua lake huanguka........."

Mwili huu wa nyama hauna faida yoyote ile.
 
Back
Top Bottom