Hii pekee ipo Rwanda

Umekurupuka ndugu, mimi nimejibu post namba 57 ya totole isome vizuri. Narudia tena naijua ile nchi nje na ndani kuliko wewe.
 
Ila nimekukubali yani ndani ya siku mbili tu umeweza kunasa mambo yote hayo!! Alafu kwa nini hujagongewa muhuri wa Exit wakatu unarudi!
Niliuliza ila nikaambiwa muhuri wa Tanzania unatosha kwa exit.

Kiukweli hata mimi najishangaa ni muda mchache saana kujua hayo yote mkuu, naamini ningekuwa na camera ningetengeneza bonge la documentary.

Shukrani mkuu kwa kutambua kipaji changu cha uzurulaji na ufundi bomba. Ahaha
 
Primus inapatikana pia, Congo DRC na Burundi.
 
Naungana na mtoa mada kuhusu security Kigali ni tight kinoma.

Mwaka jana nilikuwa kule, siku moja nilienda sehemu fulani panaitwa Nyabugogo, ndiyo ipo stand kuu ya mabasi. Nikawa nimekaa sehemu flani kwa shoe shine mara nikapokea simu kutoka home, nikawanaongea kwa muda, mara nikatoka pale kwenda penbeni kidogo, baadaye nikaends kwenye banda ya Mpesa. Kumbe movement hizo kuna jamaa ananifuatilia kwa makini zaidi baadae akagundua sina madhara yeyote akanisalimia na kuniuliza kama natoka TZ nikakubali, akaniomba kitambulisho, bahati nzuri nilikuwa nimetembea na gamba akaangalia kisha akasepa zake.
 
 
doooh.. mkuu hngera.. umekla maixa
Asikwambie mtu nimekuwa na wakati mzuri saana Rwanda.

Halafu kwa bajeti ya kawaida sana kama sio ndogo maana pesa yetu inapanda kwa kasi ya ajabu siku mbili nyuma nilichange 1tsh kwa 0.37 then after two days later tshs ikapanda mpaka 0.4 nikapata hela nzuri.
 
😱😱😱!
 
Mkuu nimecheka sana....Wenzio wanafanya Uta fit kabla yakwenda Nch za watu....kuhusu umiliki wa Kisima cha Maji huko Down sio Rwanda tu....hata humu Tanganyika hapo Kagera pia Sababu kubwa inasemekana ni ulaji waaina flan ya NDIZI
 
We jamaa una hasira saana, unaeza kata makofi hata wandugu. Hebu tupe kingine tuone kama kweli unaijua nchi!
Sina hasira mkuu ila sijapenda huyo jamaa aliponiita muongo. Kwa faida ya wengine labda wewe ndo uniulize ambayo huyajui nikufahamishe. Kutokana na nature ya kazi zangu nimezunguka kila angle ya ile nchi.
 
Mkuu nimecheka sana....Wenzio wanafanya Uta fit kabla yakwenda Nch za watu....kuhusu umiliki wa Kisima cha Maji huko Down sio Rwanda tu....hata humu Tanganyika hapo Kagera pia Sababu kubwa inasemekana ni ulaji waaina flan ya NDIZI
Hapo umenena mkuu! Ni kweli ukanda wenye ndizi unaweza kuwa na association na maji maji songea ya wale viumbe maana na kule kila nyumba ina udizi hata mmoja.

Sometime ni raha kukutana na surprise kutafiti sana mara nyingine hakuna vibe nzuri.
 
Ha ha haaaaa.....Nimecheka kwa Sauti kama mwehu...Eti...Mwekezaji...kwa Uzi usije kufanya watanganyika kupigwa BAN kuingia huko....Kwahiyo mtu anaetamani mechi zakutosha akamwage Ngeli huko atakuwa Plumber wakudumu Asante
 
" KUNYANZA"
 
Sina hasira mkuu ila sijapenda huyo jamaa aliponiita muongo. Kwa faida ya wengine labda wewe ndo uniulize ambayo huyajui nikufahamishe. Kutokana na nature ya kazi zangu nimezunguka kila angle ya ile nchi.
Relax bro! We are having fun and enjoying friendly conversations..no fight tonight!

Nimetoka Rwanda kujifundisha kuvumiliana na kupendana..tunasema "urokundo" kwa hiyo tuvumiliane tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…