Hii pekee ipo Rwanda

Hazikutoshi sio? FYI never quote me any more, i don't need your useless advice and mind your business please.

Watanzania bwana - majivunoo!! Kingereza chenyewe mgogoro, kwani ukizungumza kishwahili nani atakucheka?
 
Mkuu hebu niambie...wanahitaji Visa kwenda? Nahisi likizo mwez ujao ntaenda kama ndo hivyo
 
Job ya kwanza ulifanya vizuri. You were'' representing our nation''
 
Watu mpo radhi kugharamia ngono
 

Haha haha! Maker pen kwenye dumu la maziwa
 
Katika nchi za Africa Mashariki na Kati Rwanda ndio nchi ndogo kuliko zote.Kwa kwetu hapa Tanzania ukubwa wake unaweza kuwa sawa na wilaya ya Bagamoyo.Kutokana na udogo wake ni rahisi kuitawala,na ajabu Katibu tarafa wa huku akienda huko anaweza kushika wadhifu wa uraisi.
 
Hahahaaaaa!
 
Your genious sir!
 
Mmmh! Nadhani nimepotea jukwaa! Manake humu ndani ni Wafuska watupu! Ngoja nipite kimya kimya!!!!
 
Sio kohoni. Ni kooni
 
Ndio sehemu pekee boda boda huvaa sare, namba mgongon, kuendesha taa inawaka hata kama n mchana, kuingia kwenye daladala kwa folen km ATM gari zote huonekana kuwa mpya sio km za buguruni, hakuna uchinga wa kuuza karanga,miwa, nk barabarani
Boda boda ni sheria kuendeshwa taa ikiwa inawaka. Hata Tz tunashuriwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…