Hii pekee ipo Rwanda

Nadhani Rwanda ndo nchi pekee mtu akifika mji mkuu wake ndo ana maanisha nchi nzima ipo hivyo
 
Licha ya hotel niliyofikia kuwa mzunguko wa club na pub nyingi zenyr kila sample bado sikuwa na kiraruraru saana nlikuwa calm and determined pia mwenye hamu ya kuona maajabu ya maji.

Ila nilishangaa baada ya kwenda kwa mshkaji wangu asubuhi na kukuta maji yamejaa na yametapakaa kila pahali pale chini na kiukweli sikuhisi kama yale maji yote yametoka kwa binadamu mpaka jamaa aliposema hii kitu Inaitwa "kunyaza" na maji ninayoyaona yametoka kwa mchuchu..was suprised! Nilihisi lazma atakuwa kalazwa kwa kupoteza maji mengi hivi..loh! Kweli tembea uone!
weka picha bana maneno mengi ya nini
 
VIPI KAZI MZEE, ZIPO? AU KM BONGO TU, MFANO ENGINEERS, DOCTORS, BODABODA, WAHASIBU, MA NTILIE, KUUZA GENGE?
 
Wamejaa Karagwe wakuu kwa anayetaka kuwagegeda. Mimi nilipata nikiwa huko mmoja, mtoto akapagawa kuona niko na watasha na huku namwaga ng'eng'e mingi. Nilipoitongoza aliniuliza natoka Daslam? Nikamrusha kwa kumwambia mimi mtswana aliruka kwa furaha. Anadai watswana wapo kama waingereza. Nilikula 'mutoto kwa laha thana'.
Karagwe ntatembelea
 
Back
Top Bottom