Hii pekee ipo Rwanda

Hii pekee ipo Rwanda

Nilikuwa nakaa 5 to 5 Hotel karibu na Amahoro Stadium, Kigali kuna mengi sana ya kujufunza kwa kweli including usafi wa mazingira in general
 
Nilikuwa nakaa 5 to 5 Hotel karibu na Amahoro Stadium, Kigali kuna mengi sana ya kujufunza kwa kweli including usafi wa mazingira in general
Ivi naa wao usimamizi wa mazingira /usafi wana fanya wananchi wenyewe au kuna tender zina gawiwa kwa makampuni ili kusafisha mji wao ? Naomba tu share experience yako huko
 
Na ukiwa unajua ngeli wenyewe wanaamini utakuwa muwekezaji hivyo papuchi za kitusi zitakulaza na viatu.
 
Kama kweli Kigali ndo njia peke watu wanajuana Ken wote basi ni kijiji hicho au kwa njini n8.mtaa
 
Primus ni sawa na pombe flani za hukunlwetu Kama dadii Busa Mangiree mbege kn how ome mnapiga pafu kwenye chupa Maambukizi ya Corona na magonjwa mengine ya kibywa na tumbo vipi
 
I am planning to marry rwandan chick one day...Nitaenda kwa ajili hiyo
 
Primus ni sawa na pombe flani za hukunlwetu Kama dadii Busa Mangiree mbege kn how ome mnapiga pafu kwenye chupa Maambukizi ya Corona na magonjwa mengine ya kibywa na tumbo vipi

Hivi kumbe corona ipo tangu enzi hizo mtoa mada anapost 2016 huko,sikujua aisee.
 
Ivi naa wao usimamizi wa mazingira /usafi wana fanya wananchi wenyewe au kuna tender zina gawiwa kwa makampuni ili kusafisha mji wao ? Naomba tu share experience yako huko
Kwa kweli kwenye hili sina uhakika sana juu ya wahusika wa usafi nadhani ni jukumu la kila mmoja kwenye eneo husika na wapo makini mno. Mimi sikuona hata nzi nilikwenda sokoni yani jamaa wako vizuri kwa kweli
 
Primus ni sawa na pombe flani za hukunlwetu Kama dadii Busa Mangiree mbege kn how ome mnapiga pafu kwenye chupa Maambukizi ya Corona na magonjwa mengine ya kibywa na tumbo vipi
Kuna mizigo kama hiyo Primus, Mutzig na Skol ila sasa hiyo michupa yao ya bia ni mikubwa mno
 
Bia ya primus niliwahi kuipata geita ikiuzwa.
bei yake ilikuwa sh 2000/= (twiga bar)
yale ni maji tupu..chupa kubwa sana la lita moja..kilevi cha mbaaali.

Kiufupi bia ilikosa wateja..naambiwa eti kuna bia ya amstel ipo huko.
kuhusu wadada wa kitusi kwel wazuri.ila ni wachafu balaa, intolerant, wavivu nk
 
The devil was in the detail since 2016 'Nyegezi'

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Bia ya primus niliwahi kuipata geita ikiuzwa.
bei yake ilikuwa sh 2000/= (twiga bar)
yale ni maji tupu..chupa kubwa sana la lita moja..kilevi cha mbaaali.

Kiufupi bia ilikosa wateja..naambiwa eti kuna bia ya amstel ipo huko.
kuhusu wadada wa kitusi kwel wazuri.ila ni wachafu balaa, intolerant, wavivu nk
Yooo! Twiga near roundabout ni mwaka gani huo chief?
 
Hongera kwa kwenda likizo Rwanda wengine kupewa PESA ya likizo Ni historia
 
Back
Top Bottom