Hii pekee ipo Rwanda

Nilipanga kwenda Kampala likizo ijayo, nimeghairi naekelea Kigali aisseeee.
 
Sasa mkuu hujaja na ka mnyarwanda kamoja🙂🙂🙂
 
..Si yeye ndio ametembea hadi hapo sasa wewe usimseme kaongeza chumvi..jamaa anayosema ni kweli!kumbuka Congo ina waasi pia wana uniform zao mzee...hakuna chumvi yupo sawa tu!
 
..hiyo ndo tofauti sasa"kikoti cha reflector tu"
 
Nawewe unataka ukawe Fundi Bomba huko?
Hiyo tech ipo katika ukanda wa maziwa makuu, hapa kwetu ukipita mitaa ya Ngara, Murushaka, Kayanga, Bukoba na hata Muleba na Biharamulo utakutana na hayo magodoro, kwetu wanaita i teknoloji iki ka katerero lakini huko Rwanda wanaita Kunyaza.
Kule Uganda na magharibi mwa Kenya wanaita Kachabari!!!

Nilipokuwa kijana nilikuwa mpenzi sana wa hiyo teknoloji lakini sasa nimekuwa mtu mzima, nimestaafu, naenda Kigali kupumzika tu tena nitaambatana na familia yangu, hivyo hakutakuwa na KUPATWA KWA MKE, hali inayotokea baada ya mchepuko kukaa katikati ya Mume na mke..
 
Aise nimejaribu kupitia comment za watanzania wenzangu huku kuhusu Safari ya Rwanda kwakweli labda watu wamechukulia kama chitchating tu lakini ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania na Africa tunayosafari ndefu ya kujitambua na kuwa matured yaani comments utafikiri ni vijana wanaobalehe ndio wanaongea kumbe ni watu wazima tena wengine wana family.

Lakini wapo obsessed na wanawake mpaka wanajiwekea nikakati ya kupoteza laki 1 ya kwenda Rwanda ili kutafuna papuchi ya mnyarwanda tu basi warizike kisha warejee Tanzania.

Sio kama naingilia maisha ya watu oo course huwezi kumpangia mtu maisha ayatakayo ila in general view watanzania au waafrica kwa percentage kubwa bado hatujitambui.

. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying
many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?.......P. W. Botha kaburu mbaguzi wa Africa ya Kusini.

Akiyasema hayo maneno lakini ukichunguza kwa undani alikua sahihi.
 
wewe kama sio obsessed na wanawake, jitathmini jinsia yako mkuu.
 
Redeemer wewe ni mtu wa wapi?!...kwenu hakuna jokes?...unadhani upo serious sana na maisha kuliko vitu vingine???!.na kwa uelewa wako wote' unadhani kila mtu aliefanikiwa yupo serious na mipango yake??waombe msamaha watu weusi na wanajf walioshiriki huu uzi...!!huwapendi waafrika wenzio wewe!
 
Wewe jamaa ni mnoko kama mwela wa stendi. Yaani from nowhere umekuja na kubadilishs course ya conversation yetu.

Matter of fact achana na gravitational pull ya women, bill Clinton the most respected US president alimgegeda Monica Lewinsky ikulu ya marekani na yeye alikuwa mwafrika na alikuwa sio smart kutokana na kwamba he was obsessed na women? Kennedy nae mpaka anaachia hakuwahi kukimbia dhahama la wanawake, huyo trumph mwenyewe ana makubwa yake when it comes to women.

Kwa hiyo ukiona tunaongelea stori za wabebe wakali wa kimataifa...nyamaza na mind your business mpwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…