Ntanunua kesho.. Ntawajulisha leo mvua nkashndwa.. Bt swala la speed mbona Airtel iko mwake sana.. Uku naona inapta wk speed haijashuka
2.5mbps au 280KBps tena iko safi sana ktk kustream hd hazigandi kabisaa!!
Ndg hebu jaribu kunifafanulia...ina maana nukilipia 3000- kwa mwezi napata free internet ya GB ngapi kwa mwezi? Ni limited au unlimited? Kwa kweli nataka kujua kwani voda nnayotumia ni slow mno...asante kwa ufafanuziMimi ninayo, Hiyo FREE INTERNET ni Sh3,000 kwa mwezi na Kila usiku ni bure pia.
Lakini ile ya free internet ya usiku ni kwa wateja wote! Sio lazima unue modem, hata kwenye simu, au modem ya zamani...
Ongeaa taratibu wanakusikia,kama vipi tunong'oneze tusije kuwapotezea ma founder wa JF shavu hilo hapo juu!!Wezi tu hao hawana lolote wameshindwa kazi bora walale mbele tu.
Yah hamna chabure kaah hawa hewateli nao washambukizwa uwizi kutoka Tigo.. Nmepewa modem na line ata haijasajiliwa bdo.. Bure itoke wap apo sasa.. Tena nmenda nunua makao makuu.. But modem iko safi sana.. Uzur pia inasupport HSUPA - hii ni high upload speed.. Apa natumia na zantel napata Download 3.8Mbs/ 400- 450 KBps na Upload 2Mbs/250KBps.. Just amazin na Zantel.. But Airtel speed ni ile ile only 250 KBps download.. Kwa sasa katka modem zote znazouzwa hii inaongoza kwa ubora!!
Yah hz modem znachakachulika kuirahisi sana.. So utaweza tumia mtandao wowote kuhusu ubora ni kwamba modem inasupport.Thanks mkuu....je kwa modem hio mpya ya airtel unamaanisha waweza itumia na line ya zantel kupata hio speed ya 3.8Mbs au...kuhusu ofa ndo kusema ishu ya sh 3000/ ndo upewe net ya bure ucku haipo? na huo ubora wa modem hio mpya unatokana na addition gani hasa
sorry maswali mengi nataka kujua....kuuuliza sio u...
mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
Wakati watumiaji wa Airtel modem tukiwa ktk janga la kushuka kwa speed yake toka HSPDA hadi EDGE , huku wao wakitangaza kuwa wana speed kali ya 3,75 g na sasa wametoa/wanatangaza kama wanajf mnavyoona hio banner yao hapo juu kuwa NUNUA MODEM YAO KWA TSH 30,000/= NA UPATE INTERNET YA BURE KWA MIEZI 6 INA UKWELI WOWOTE ....KWA AMBAYE AMESHANUNUA KUPITIA HII OFA TAFADHALI TUNAOMBA ATUPE FEEDBACK KUHUSU OFA HIO NA UWEZO/SPEED YA HIZO MODEM MAANA TUNAKARIBIA KUWAKIMBIA HAWA JAMAA
Hivi kuna watu bado wanatumia Airtel?
Yah hz modem znachakachulika kuirahisi sana.. So utaweza tumia mtandao wowote kuhusu ubora ni kwamba modem inasupport.
HSPDA 7.2 Mbps ambapo modem ya voda, tigo na airtel kabla ya hii zna uwezo mpaka 3.6 Mbps.. Hamna modem nyigine apa Tanzania ambayo inasupport
HSUPA 5.6Mbps but hii inasupport.. So mpaka apo ushaona ubora wake kuliko zngne.
Mimi ninayo, Hiyo FREE INTERNET ni Sh3,000 kwa mwezi na Kila usiku ni bure pia.
Lakini ile ya free internet ya usiku ni kwa wateja wote! Sio lazima unue modem, hata kwenye simu, au modem ya zamani...
Zipo zinasupport mkuu Huawei E220 na K3570 from Voda na Airtel walikua na E220 mkuu. hii ninayotumia ina 7.2mbps huawei E220 from Airtel cku net ikicheka huwa nagonga hadi 800kbps ya Voda.