Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,770
- 1,555
Wakati watumiaji wa Airtel modem tukiwa ktk janga la kushuka kwa speed yake toka HSPDA hadi EDGE , huku wao wakitangaza kuwa wana speed kali ya 3,75 g na sasa wametoa/wanatangaza kama wanajf mnavyoona hio banner yao hapo juu kuwa NUNUA MODEM YAO KWA TSH 30,000/= NA UPATE INTERNET YA BURE KWA MIEZI 6 INA UKWELI WOWOTE ....KWA AMBAYE AMESHANUNUA KUPITIA HII OFA TAFADHALI TUNAOMBA ATUPE FEEDBACK KUHUSU OFA HIO NA UWEZO/SPEED YA HIZO MODEM MAANA TUNAKARIBIA KUWAKIMBIA HAWA JAMAA