Hii nyimbo mpya ya Diamond ifungiwe

Hii nyimbo mpya ya Diamond ifungiwe

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote, twende kwenye point huu wimbo wa Diamond
"Nasema Nawe" ni mzuri sana tatizo ni hii video hawa mashangingi ya Magomeni na Tandale yanavyofanya mule ndani.

Kama BASATA waliifungia video ya Bata ya Offside Trick pia naomba waifungie na hii pia maana haina tofauti kabisa na ile.

Nawasilisha.
 
Kwani imeoneshwa kwenye kituo gani cha TV
 
Hahahaaa!Haya sasa kazi imeanza.
Ngoja nikae kimya mie nisijepopolewa na mawe.
 
Eatv, clouds tv pia nimeiona dtv
 
nashauri! ukiona ni matusi hamisha stesheni!!!!!!
 
Video iko poa na ao basata wakiwashwa kuifungia tutaicheki watsup,,,pia YouTube.....
 
Basata wakifunga kwa maneno cc tunafungua kwa vitendo, kitu kipo poa sana has a ile mishangingi sasa😀😀😀😀😀😀.
 
Huyu atakuwa hajui miziki ya TZ hajaona kiti bali koo kumuwasha tu.

Kwani lazima upende kila muziki na msanii?

Wapi wameandika mtu akikata mauno asili ya kibantu ni kuvubja sheria?
 
Big LOL

Kwa wewe kusema timu

inaashiria ni wivu umekujaa

mdaku, mmbeya, roho inaa haswa kwani uliambiwa madame yenu amuache Diamond? Mnajuta nini na maisha yake?
 
Back
Top Bottom