hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

Wengine hatutaki lawama kama Yesu, kuoa tutakusikia redioni tu.

Ya nini kuingizana majaribuni hivihivi?
 
Wee vipi! mbona umeng'ang'ania sana luku?

Situmii luku mimi, if you must know.

Nataka nijue ili kama umeshindwa kulipa niandae "lithread" la kukuchangia hiyo bill ya umeme aka "liluku" (hata kama hutaki liitwe hivyo).... humu wengi sio wabinafsiiii...
 
Nataka nijue ili kama umeshindwa kulipa niandae "lithread" la kukuchangia hiyo bill ya umeme aka "liluku" (hata kama hutaki liitwe hivyo).... humu wengi sio wabinafsiiii...

Situmii luku. Kigumu kueleweka hapo ni kipi?
 
Wengine hatutaki lawama kama Yesu, kuoa tutakusikia redioni tu.

Ya nini kuingizana majaribuni hivihivi?

Hahaaaa.lol. Sio ndoa zote ziko hivyo. Usikate tamaa. Ndoa ina utamu wake unajua?
 
Mbona kimbimbeee, nai ngoja tuwaandalie yako ya kumtengea mumewe chakula kwa mateke. Ratiba kama upo EPL!! Kila kitu kufanya house girl!
 
co wote nibaadhi tu mengine wengi wanafanya ila mengine co wengi
 
Kuthibitisha kwamba wewe ni jinga. Uliandika kwa uhakika kabisa kwamba sura yangu imebadilika (sijui hata uliionaje)

(Tazama sura ilivyokubadilika, unataka utoe na msonyo, go ahead Nyani)

Halafu hapa unaandika hupati picha sura yangu inakuwa katika pozi (toka lini sura ikawa katika pozi?) gani.

Sipati picha ukiwa unanijibu, sura yako inakua katika poz gani!!!

You probably need some dick to straighten you out.
 
Huh...? Teh teh teh....hivi wewe una akili timamu kweli? Kuminya umeme ndo nini? Whatever that is hatufanyi hivyo huku sisi.

kama hujui kuminya umeme ni nini, umejuaje kua huko hamfanyi hivyo? wewe utakua mjuzi wa hili...
 
Kuthibitisha kwamba wewe ni jinga. Uliandika kwa uhakika kabisa kwamba sura yangu imebadilika (sijui hata uliionaje)

Halafu hapa unaandika hupati picha sura yangu inakuwa katika pozi (toka lini sura ikawa katika pozi?) gani.

You probably need some dick to straighten you out.

Hahahaha lol...
 
Back
Top Bottom