nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Really hooo!
Are you sureeeee?
Really hooo!
Kama kadha wa kadha.
Wengine hatutaki lawama kama Yesu, kuoa tutakusikia redioni tu.
Ya nini kuingizana majaribuni hivihivi?
Sio mara ya kwanza kukuona na hili tatizoooooo....
kama kadha kadha ipi?
Are you sureeeee?
Jitoe mhanga mkuu
Leo ni mara ya ngapi?
Sureeeee ndo nini?
mara ya 2
Kujitoa mhanga ndio hivi kisejaseja kama mtawa.
Ukisaini tu, ujue lawama ni yako, hata uwe malaika utalaumiwa kwa nini meza ya bia unailetea vinywaji vya kuleta nzi?
Kama kadha.
I think you need a serious pounding.
are you sure?
Mara ya kwanza ilikuwa lini?
mfano?
Kweli Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Leo mbona sio wale wanaojiita wanaume kuja kuchangia hapa??