hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

Kweli Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Leo mbona sio wale wanaojiita wanaume kuja kuchangia hapa??
 
Ukilala nje unarudi na pingu mkononi.....hii kali.
Baadhi ya wanaume wanachukulia remote control kama mb...zao-hii mpya.

Ujumbe mzuri.
 
Hapa lazima kuna mlengwa amepaniwa haswaa, haya ni mambo ya ndani kwa mtu kaamua kuja kuyavurumishia hapa.
Haya dada nadhani atakupata huyo mlengwa
 
Message sent, asante shoga kwa kusaidia kufikisha ujumbe.

Tiba
 
Hii nimeipenda! Unarudi na pombe zako nyumbani unafika unamrujia mke kama gym! Ukimaliza unadondoka pembeni dakika tano nyingi unakoroma, ukisaidiwa unaanza kutafuta mchawi.
 
Message delivered....................Naamini watabadilika wenye nia ya kufanya hayo mabadiliko , duh ujumbe murua kabisa wa kuanzia juma.
 
Back
Top Bottom