si iko hapo juu kwenye "siredi" najua kuna yanayokuhusu tena hasa ya remote (no 13)...
13. Ubinafsi wako huo,ukikaa sebuleni remote control haiko mbali na wewe unabadilisha tu chanel,si umuulize mkeo au wanao kama nao kuna kitu wanataka kuangalia? kuna mtu aliwahi kusema eti wanaume huona remote control kama ni extension ya mb....zao.
Hakuna hata moja linalonihusu hapo.
Na kuhusu remote
Nina tv kwenye sun room, living room, bedroom, na jikoni. Hivyo hilo tatizo kwangu si tatizo.
kutumia tu neno Nina tv..... ushaonesha ubinafsi tayari...
Sasa kama ni za kwangu ulitaka nisemeje? After all, hakuna ubaya mtu kuwa mbinafsi.
hahaha mpaka hapo ushakubali kua ni mbinafsi, ndo maana nilikwambia no 13 inakufaa, badilikaaaaaaa....
Unaishi peke yako kwani uko pluto???Wewe una akili ndogo sana. Sasa kama naishi peke yangu, ulitaka nisemeje sasa?
Sihitaji kubadilika kwa chochote kile. Kila nilichonacho ni changu kwa sababu nimekipata kutokana na jasho langu. Lakini kwa vile una infertile pea-sized brain, huwezi ku-appreciate kitu kama hicho.
Wewe siyo mbinafsi?
Unaishi peke yako kwani uko pluto???
Em jitazame unavokasirika, unapunguza siku za kuishi ujue...
Unaona sasa ulivyo na akili ndogo!
Wala sijakasirika. Zaidi ninakushangaa tu ulivyo dumb. Yaani kisa tu nimesema nina TV ndo nimekuwa mbinafsi. Well, kwa taarifa yako nina zaidi ya TV. Nina mtoto pia. I guess that makes me selfish also. Good grief!
I never thought you could be that dumb. But I was dead wrong. That I'll admit.
Mara unaishi mwenyewe!!!!! mara una mtoto!!!!!!! anyway......
Ya nini kutoka povu Nyani, ama maboksi yamekuaffect kichwani!!!!
No wonder unavyoishi mwenyewe...
Mjinga kama wewe unitoe povu? Bitch pliiiz.
sa unalalamika nini?
si uendelee kutazama tv zako, ama hujalipa luku?
You dummy, ona ulivyokariri luku. Unadhani kila mtu anatumia hiyo huduma?
You need a brain transplant!
(Tazama sura ilivyokubadilika, unataka utoe na msonyo, go ahead Nyani)
kwahiyo umelipa?
Nimelipa nini?
hahaha Nyani, si tunaongelea umeme...