Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?

Muulize kabila la mumewe ni la kwa kina munisi-mushi....??
Kama ndivyo basi unatafuta balaa mkuu...

Ndugu haya maisha yamejaa changamoto nyingi sana, kinachoniumiza mimi hapa ni historia yangu na huyo ex wangu ambaye sasa ni mke wa mtu! na ananiambia ujauzito alionao ni wakwangu
 
huyu dada kuna siku nilitoa stori kuhusu mimi na yeye kuachana, ni dada ambaye tulipendana sana
[h=3]Aliwahi Kujaribu Kujiua Kwa ajili yangu! Na [/h]

hapo kuna mawili, huyu mwanamke tuliachana tu kwa sababu aliona mimi muda wakumuoa bado sijauweka vyema, so sasa japokuwa kaolewa mara nyingi sana anapenda kunialika sehemu mbalimbali nitoke nae ila huwa sikubaliani nae, so kuna uwezekano ananitengenezea mazingira yakunivuta karibu! nimemwambia amweleze kwanza mumewe ukweli then ndiyo nijue chakufanya, kitu kitakachompa wakati mgumu kwasababu alidanganya ili aolewe kwa haraka.
KULINGANA NA PART 1 YAKO,VANESSA ALIOLEWA MARA MOJA TU...

hapa nawaza sana. jumapili wakati namzungumzia hapa nilisema sitaoa tena, but hili la ujauzito linanishawishi its like i want her to come back
ULISISITIZA SI KWA LOLOTE LILE AMBALO INGEBADILISHA MSIMAMO WAKO

ehee sasa hapa wewe unataka picha ya nini?
au ni kama zile za Tyta?
6410917039_2d05f7738b_o.jpg

Ndugu haya maisha yamejaa changamoto nyingi sana, kinachoniumiza mimi hapa ni historia yangu na huyo ex wangu ambaye sasa ni mke wa mtu! na ananiambia ujauzito alionao ni wakwangu
MMEACHANA MIEZI 3 ILIYOPITA,AMEOLEWA MARA NYINGI,MARA NGAPI?YANI UMEAMBIWA TU,USHAAMINI NI WA KWAKO...ANYWAY
the_saga_continues_mousepad_p144132082151589508td22_210_xlarge.jpeg
 
mpaka nihakiki anachokisema kama ni kweli

Sasa wewe huoni kuwa unavyomuamrisha amwambie mumewe ana mimba yako ni kana kwamba unamwambia aachike alafu huna nia ya kumsaidia baaya ya kufanya unavyotaka wewe? Msiwe mnashauri watu vitu alafu mnakwepa responsibilities. Put your money where U R mouth is.
 
mbona kuilea mimba sio ishu hata kidogo? na hata kama ni assistance ya kipesa hata hitaji sana, she have it
ishu ni kama kweli hiyo itakuwa damu yangu
 
mbona kuilea mimba sio ishu hata kidogo? na hata kama ni assistance ya kipesa hata hitaji sana, she have it
ishu ni kama kweli hiyo itakuwa damu yangu

Mkuu pole sana, mtihani upoa hapo. Kwa inavyoonesha bado mnapendana sana. Unauhakika gani kama hiyo mimba ni ya kwako,d umeeleza kwamba mliachana miezi 5 iliyopita na akaolewa tena miezi 3 baadae, ila sasa ana mimba yako yenye 6months. Mkuu hapo ni utata, hapo anatafuta way to get back the relation that u had before.
 
mimi ninachokushauri,

mhudumie kwa moyo wako wote,

as long as ulikuwa unakula peku, moja kwa moja matokeo yake ni...

pregnant.jpg

nadhani umenielewa!

so wewe subiri miezi tisa ikamilike uchukue kiumbe chako!

nyongeza:

sidhani kama hii ni surprize!

suprize ni kile kitu ambacho kinakuja bila kutegemewa!

sasa kama umegegeda bila kinga, unategemea nini?
 
Wana MMU hope mmekuwa na siku njema!

Thanks to God hata mimi niko vizuri.
Kuna kitu kimenishtua sana leo jioni. Na hapa bado nina mawazo kibao, kama hii ni suprize ama nadanganywa tu, ni hivi nilikuwa na girlfriend wangu tuliodumu takribani 4years in relationship. Tumeachana kama miezi 5 hivi iliyopita na yeye aliolewa miezi 3 tu! baada ya kutengana na mimi, so inawezekana alikuwa na mipango ya siri hata kipindi mi nikiwa nae. huyo mpenzi wangu alivyoolewa nilimpiga stop kabisa kuwasiliana na mimi, but tokea jumapili iliyopita anajitahidi sana kuwasiliana na mimi ananiandikia msg kibao na kupanga outings ambazo huwa nazireject. Leo kuna kitu kimenishangaza, nimepigiwa simu na huyo mpenzi wangu ananiambia ni mjamzito na ujauzito wake una miezi 6, na mimi ndiye baba wa hiyo mimba! I got shocked. Ikabidi nimpigie simu aniambie vizuri, kanieleza mimba ni yangu, ila ilibidi adanganye ili aolewe!

Hi kitu inanitatanisha sijui nifanye action gani hapa,
Nimemwambia amwambie kwanza mumewe ukwel ndiyo mimi nimwamini.

mke wa mtu bado unamwita mpenzi wako? Subiri kifo
 
Mkuu pole sana, mtihani upoa hapo. Kwa inavyoonesha bado mnapendana sana. Unauhakika gani kama hiyo mimba ni ya kwako,d umeeleza kwamba mliachana miezi 5 iliyopita na akaolewa tena miezi 3 baadae, ila sasa ana mimba yako yenye 6months. Mkuu hapo ni utata, hapo anatafuta way to get back the relation that u had before.

Kama umenisoma vizuri hapo juu, mkuu ye anasema alipata mimba akiwa na mimi na alimwambia huyo mume wake kuwa mimba ile ni yake ili tu amwoe haraka.
 
mimi ninachokushauri,

mhudumie kwa moyo wako wote,

as long as ulikuwa unakula peku, moja kwa moja matokeo yake ni...

pregnant.jpg

nadhani umenielewa!

so wewe subiri miezi tisa ikamilike uchukue kiumbe chako!

nyongeza:

sidhani kama hii ni surprize!

suprize ni kile kitu ambacho kinakuja bila kutegemewa!

sasa kama umegegeda bila kinga, unategemea nini?

nimesema ni suprize just kwa staili hili jambo lilivyonifikia.
 
Kama umenisoma vizuri hapo juu, mkuu ye anasema alipata mimba akiwa na mimi na alimwambia huyo mume wake kuwa mimba ile ni yake ili tu amwoe haraka.

:amen:!!!!

wanawake ni viumbe vyenye akili mno hata wasipopelekwa shule!!

hata ujauzito wa pili utaambiwa ni wako tu!!
 
Kuna uwezekano mkubwa hiyo mimba isiwe inakuhusu kwa sababu kama aliolewa chap chap ina maana alikuwa na mtu na walikuwa wanagegedana kama kawaida

wala sikupe mawazo solution apo ni DNA tu baas. Kama ikiwa ni mtoto wako kibayolojia, kumbuka maadam atazaliwa ndani ya ndoa nyingine bado hatakuwa wa kwako kijamii........unless aachike kwa mumewe awe huru na wewe uamue kuoa.

Kifupi, sahau habari ya mtoto hata kama ni wa kwako kibayolojia
 
Back
Top Bottom