Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?

Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?

Kuna uwezekano mkubwa hiyo mimba isiwe inakuhusu kwa sababu kama aliolewa chap chap ina maana alikuwa na mtu na walikuwa wanagegedana kama kawaida

wala sikupe mawazo solution apo ni DNA tu baas. Kama ikiwa ni mtoto wako kibayolojia, kumbuka maadam atazaliwa ndani ya ndoa nyingine bado hatakuwa wa kwako kijamii........unless aachike kwa mumewe awe huru na wewe uamue kuoa.

Kifupi, sahau habari ya mtoto hata kama ni wa kwako kibayolojia

Najua nina wakati mgumu sana. but i have to do something
 
Tembosa Tembosa grow up bana.

huyo binti ushamkosa, sasa hivi ni mke wa mtu. hata akiachika things will never be the same.

achana na hizo propaganda, kata kabisa mawasiliano nae.. otherwise unachotafuta utakipata. Nalog off
 
Last edited by a moderator:

she is the one who follow me up ujue. wala usinihukumu hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
hapo kuna mawili, huyu mwanamke tuliachana tu kwa sababu aliona mimi muda wakumuoa bado sijauweka vyema, so sasa japokuwa kaolewa mara nyingi sana anapenda kunialika sehemu mbalimbali nitoke nae ila huwa sikubaliani nae, so kuna uwezekano ananitengenezea mazingira yakunivuta karibu! nimemwambia amweleze kwanza mumewe ukweli then ndiyo nijue chakufanya, kitu kitakachompa wakati mgumu kwasababu alidanganya ili aolewe kwa haraka.

Kwajinsi nilivyopitia maandiko yako nimegundua yafuatayo

1) Unampenda huyo mke wa mtu

2) Unapenda mtoto na upo tayari kuuziwa mbuzi kwenye gunia na ndo maana unapenda kusikiliza mambo ya huyo mwanamke

3) Unamwamini huyo mwanamke wakati ni malaya tu' kwasababu hiyo ndoa yake alikuwa anaipanga akiwa nawewe na wewe haukujua, leo tena anakuletea story zakipuuz bado unamsikiliza!! Umesahau kwamba mlikuwa mnashea mapenzi na huyo mumewe wasasa.

4) Huyo mke wamtu kashakujua kwamba wewe ni dhaifu na haujiamin na mambo yako ndo maana anakuletea maigizoa'' mbaya zaidi bado haujastuka na unaongea kwakujiamini eti 'tulikuwa tunapendana'' hamna kupendana hapo mliku mnakuzana tu.

Stuka kijana' mabinti wasiku hizi sio kabisa inatakiwa uwe na spid 120 wakati yeye akiwa na 50.

Kingine kashakuwa mke wa mtu habari za kusema mpenzi wako ziishie hapahapa! Vingenevyo anakuchimbia kaburi.

Ni hayo tu!
 
Thank you
 
Hahaaa si ndo yule wakutaka kujiua sababu yako na ukamwambia hauna mpango wa kumuoa na alitaka muende Dubai shopping pole joh
 
yah! ndiyo yeye. sasa hivi ananiambia ni mjamzito na ni wa kwangu
 
Back
Top Bottom