Hii ni siri inayonitesa!


Hahukumiwi hapa. Kaja kuungama akitaka kusaidiwa. Msaada unaanzia na ukosoaji ili wengine nao wapate fundisho eti!
Ingekuwa hukmu kama tungemuona anakula bata halafu tukaanza kumsengenya na kumnyooshea kidole wakati alitumia rasilimali zake kupata alichopata.
 
Mtu hushindwa kuacha anapopigwa peku, halafu sio mara moja tu, ili uzoee lazima iwe zaidi ya mara kadhaa afu peku.

maumbile hayo ni tofauti na ya kawaida. Kama jamaa hakutumia kinga mzigo anaouacha hautoki naturally kirahisi. Hii husababisha bacteria ambao huanza kula ule mzigo uloachwa wakiumaliza huanza kula sehemu ya utumbo, hapo mtu hujisikia kuwashwa na kutaka ku-do tena

Hii ni tetesi niloipata kwa mtabibu mmoja

lakini huwa nasikia haka kamchezo ukishakaanza ni vigumu sana kukiacha!
 
Kwanza sina budi kukupa pole Nazjaz!
Kwa kuwa hili suala umeliweka hapa ikiwa kama n therapy kwa yaliyokufika, ningependa kujua jambo moja, lakini samahani sana, na kwa heshima zote.

Huyo bosi aliomba siku hiyo tu, au bado huwa anatakataka na wewe kwa hofu ya kukosa umeneja unammegea megea mara moja moja? Kwani kwa kawaida ya mabosi wanatumia udhaifu wa mara ya kwanza na kuifanya kama sababu ya "Blackmailing".
Nakubaliana na King'asti kuwa tatizo sio kutoa tiGo, tatizo ni kukubali kulalwa kwa njia ya kuvunjiwa heshima. Wapo wengi tu wanatoa tena hiari na kufurahia. Kosa lako la kwanza ni kukubali, la pili ni kuwacha huyo firauni akunajisi. Kwa nafasi za Serikali ya TZ ungeshitaki ungeambiwa na si hasha hata huko ungepeleka kesi wangetaka nao uwagawie ili wasikilize kesi yako, lakini kwa nafasi za UN ungeshitaki hilo huyo baradhuli angeona cha moto.

Narudia tena kukupa pole. Asante sana kwa kuliweka hili hapa na kuwaonya wengine wenye masikio wasikie.
 
Nazjaz, pole sana. Mioyo yetu kina mama ina majeraha mengi sana na hatuna pa kuongelea magumu yetu.
Nazjaz hongera kwa kuvunja ukimya.
Speaking out heals the wounds inside the heart
 
kaa mbele ya kioo ukiwa uchi au vaa nguo unayoipenda sana,jifanye kama unaogea na mtu mwingine(huyo mbele yako unayemuona kwenye kioo)..jisemee hivi(kama ni chumbani kwako ambapo sauti haitasikika nje ni vizuri uongee kwa sauti):
*MIMI NI BINTI MZURI SANA.
*THAMANI NA UTU WANGU HAVIWEZI KUONDOLEWA NA MTU YEYOTE KWA KITENDO CHOCHOTE HATA KAMA NI KU+#*4RWA(tamka neno hili kabisa)
*MIMI NI SHUJAA KWANI USHUHUDA WANGU NILIOUTOA KWA WATU UTAWASAIDIA WATU WENGI.KUNA WATU WENGI WALIOFANYIWA HIVI TENA HAWAKUPATA HATA CHEO KAMA CHANGU.
*KUANZIA LEO TAREHE __NIMEJISAMEHE,SINA WAKATI MWINGINE WA KUPOTEZA KATIKA KUWAZA JAMBO HILI,NILIANGUKA NIMEJIPANGUSA MATOPE NAENDELEA NA SAFARI SINA SABABU YA KUMLAUMU MTU YEYOTE.

Huku ukiwa bado mbele ya kioo angalia sehemu yeyote ya mwili unayoipenda sana(kila mtu huwa na sehemu yake,mimi huwa napenda sana sehemu ya chini ya macho,na ndio maana nikasema kaa uchi au nusu uchi) Pashike,feel that part! Achia tabasamu!
Vanya zoezi hili ukijiambia maneno haya angalau kwa siku 21,ni tiba nzuri hata kwa watu waliobakwa
 

nilifanya just once, nilijilaumu sana na sitorudia tena
 

thank you for the advice
 
Mwanzo mzuri NazJaz. Angalia,ukikubali kuwa blackmailed kwa ajili ya chochote huenda blackmailing ikaendelea. Inakuaje kesho ukahitaji kitu ukaambiwa mtoe kafara ndugu yako? Usiache kazi, kwani itakusukuma to financial desperation ambayo itakua mbaya. Nakushauri utafute a reasonable job ukaanze maisha masafi kwa upya. Lakini chonde, tafuta msaada wa kiimani.
nilifanya just once, nilijilaumu sana na sitorudia tena
 
Juzi kati tu hapa Nazjaz alipost hivi:



Leo anatuambia bosi kamgonga tigo yake ili apewe nafasi ya u-line manager.

Halafu anasema:



1. Kwanza inaonekana wewe ni mlupo, mwanamke mwenye staha zake hawezi kulichukuliwa tendo la kuliwa mzigo kirahisi hivyo hata kama ni kugongwa mbunye (njia ya kawaida), kauli yako eti "sikuona sababu yoyote ya kumnyima" inaonyesha una amatatizo makubwa ya kimaadili. Ushauri, fanya mafungo umuombe Mungu akusaidie kuondokana na pepo la ngono linalokufanya uamini kwamba ngono ni kitu chepesi tu unachoweza kumpa mtu yeyote wakati wowote ili mradi utimize mahitaji yako.

2. Ile pale juu umesema umempata wako, sasa jitahidi utubu pia kwa huyo jamaa yako pili mkapipe manake inavyoonekana jamaa aliyekugonga tigo ni mzoefu na kiukweli ni kwamba wapenda tigo wote huwa wanapenda kugonga KAVUKAVU hivyo inaonekana pia uligongwa bila ''NDOM'' sasa mfanye mpango wa kupima NGOMA.

3. Mwisho, sikiliza wimbo wa 20%: TAMAA MBAYA.

4. Jitahidi ujisamehe mwenyewe maana Mungu wetu ni mwema hivyo ukimpigia goti tu atakusamehe.

5. Usirudie tena kugongwa TIGO, umesikia eeh mtoto mzuri, halafu hii kauli "sikuona sababu yoyote ya kumnyima" uifute kwenye kichwa chako, manake inaokena kama jamaa angekula kipochi manyoya tu pengine usingejisikia vibaya tatizo jamaa kalamba TIGO. Sasa kwa ujumla ni kwamba iwe kipochi manyoya au TIGO vyote ni haramu kuliwa kwa lengo la kupata cheo.

Bye bye bye mtoto mzuri Nazjaz.
 
Never trust Nazjaz
Sijui kama Nazjaz ameongopa hapa au la.
Ninachojua ni kuwa hakuna ukweli wala uongo uliokamilika. Kwenye kila uongo kuna kweli ndani yake, na katika kila ukweli mna na uongo japo kidogo. Pengine (im not judging neither her nor you) hii hadithi yake ni yake ni ya uongo, lakini naamini katika uongo huo mna ukweli ndani yake; yeye, na si mwengine zaidi ya yeye, anajua kilichojiri.
 
Sipati picha ni wangapi wanafanyiwa hivyo vitu...dah, na hali hii ngumu ya ukosefu wa ajira si ndio kuzidi maofisini humo....dah...aiseee....mh!!! Pole Naz
 
Pole sana dada yangu nimesikia hasira ya kuuwa utadhani wewe ni mtoto wangu wa kike na alaaniwe huyo bosi kwa kitendo chake na laana hii imfuate yeye na wale anaowapenda na kuwathamini wakose thamani kama yeye alivyotoa utahamani wako kwa madaraka yake.
 
Kama wewe umefanyiwa hivi je, unadhani wale mabinti waliomaliza Kidato Cha 4 au 6 wanaotaka kwenda CCP au jeshi watafanyaje? Ulipaswa kutumia elimu yako kutokubali kufanya ufirauni ulioufanya!!! Shukuru Mungu ulipata hiyo nafasi. Je, ungenyimwa na wakati ile ndogo(Tigo) umetoa ungefanyaje? nadhani ungejinyonga au kuwa totally confused!!!

Kumbuka kutubu kwa imani yako. Toba siku zote huambatana na sadaka ya nguvu. Kajiweke wazi kwa Kiongozi wako wa Ki-imani.
 
aisee pole sana Nazjaz. Mimi nakushauri uokoke, tubu kwa Mungu atakusamehe. Pia uwe mtu wa maombi na kusoma neno la Mungu ili uondolewe hilo ktk mawazo yako.

Ila alikushauri utubu hadharani! yaani wapi,jangwani! kanisani!msikitini!kwenye tv au wapi? so what! ni mara ngapi watu wamekosa tena makosa makubwa tu na hawafanyi hivyo? Mungu wetu si wa hivyo bwana, anasamehe bila masharti yeye si mganga wa kienyeji na wala hadhalilishi hivyo.
Pia mtafute mtaalam wa saikolojia ili akushauri zaidi ili usahau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…