Hii ni siku ya harusi

Hii ni siku ya harusi

Samahani mwanamke huwa hapigwi kofi wala ngumi na wala teke hupigwa na khanga au na karatasi yake na hapo hapo safari nyumbani
 
Wameshafanya zinaa miaka nenda miaka rudi, toka vijana mpaka wanazeeka, pengine na watoto wanao wa nje ya ndoa.

Cha kushangaza nini?

hujaelewa lengo la hyo pcha,shirikisha kchwa kwanza kabla ya makalio
 
Haha na huyo kidume mbahiri kumtembeza mwenzie na shela lake ndo nini ?
 
hujaelewa lengo la hyo pcha,shirikisha kchwa kwanza kabla ya makalio

Ewe punguani, ni kipi hapo kisichoeleweka?

Siku ya harusi anatamani mwingine! sasa soma maelezo yangu, juu hapo, ni kwanini ikawa hivyo. Unaonesha una ufinyu wa uelewa.
 
Mwanamke wa kiafrika au mmarekani mweusi mwenye wivu wake lazima ukipishana na demu kama huyo akuangalie machoni. Usipo check side mirror lazima upigwe pasi...
 
Back
Top Bottom