Kumbe kuna muda akili huwaga inakuja kwako we kafiri 😂😂😂Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
Ahueni nafsi zenu zimeanza kuwasuta.Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
Kwanza hakuna mashindano yoyote duniani yanayoshindanisha Barcelona na Toto Africa hapa duniani.Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
Naamini nafsi zao zinawasuta ila wanajikaza tu viongozi wetu.Ahueni nafsi zenu zimeanza kuwasuta.
Na hii dhambi ya kuwabambikia watu kesi za uhaini ili tu muwanyime uhuru wao, kuwateka, kuwaua, kuwatesa, kuwadhulumu na kuwanyima haki zao za msingi; haitawaacha salama kamwe. Ipo siku tu Mungu atawalipa kadiri ya vile mlivyowatendea wengine.
Kafiri mtu asiekuwa muislam. Yaani kaafirKumbe kuna muda akili huwaga inakuja kwako we kafiri 😂😂😂