Hii ni 'pure class'...

Naomba niwe host wa hii makitu tebo fo foo kwenye mghahawa wa faivu staa gharama zote juu yangu, naweka nadhiri wallah ................

long live mtambuzi wewe ni mmoja ya watu muhimu wanaofanya dunia kuwa sehemu bora ya kuishi.

hakuna haja ya kiapo najuwa umemaanisha kutoka moyoni, masomo yako nayo yamekuwa msaada mpaka Lara 1 to accept me.
 
Mentor una mwallu wako nyumbani na mimi nna charminglady wangu nyumbani chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, nasema sina makosa ooooh baba wataka kuniua bure Mentor

shkamoo Ntuzu


Marihyaba @c6


Teh Teh Teh Teh Teh

Yani na nyie Shemeji zangu nashindwa kuwaelewa sasa!

Dada zangu charminglady na mwallu mniambie vzr inakuaje Hawa Shemeji zangu wanahitilafiana kwa sababu yenu?
 
Last edited by a moderator:
Marihyaba @c6


Teh Teh Teh Teh Teh

Yani na nyie Shemeji zangu nashindwa kuwaelewa sasa!

Dada zangu charminglady na mwallu mniambie vzr inakuaje Hawa Shemeji zangu wanahitilafiana kwa sababu yenu?

Kaka yangu Ntuzu....shemeji yako kwangu unamfahamu..
 
Last edited by a moderator:
Salute kwako babu na hongera kwa bibi for the party she is giving you, no matter.....

I like this babu

Wewe mwenyewe unajua...

Ninao akina mama wawili tu dunia hii.....Bibi DC na Mama yake DC!! Bila hawa hakuna babu wala unyayo wake...

Sasa party ikizimika ghafla (if it may sadly happen) kwa nini nisishukuru?

Bila kufanya hivyo huwa tunakuwa watumwa wa mambo yasio na tija yoyote kwenye maisha yetu. Kuweza kusamehe kunatupa uwezo wa kuangalia mambo mapya kwa macho angavu zaidi.

Word!

Babu nimecheka hadi machozi yananitoka, kwani mwaaaah ya bibi huwa unaipokeaje?

Sisi hatufanyi mambo hayo bwana....

Tuna njia zetu ambazo bila shaka ni tofauti na zenu!

We bwana Jana usiku Mimi nimecheeeeeeka!

Unacheka nini wakati unaamua kumchokoza babu makusudi?

Na mbaya zaidi umemwita Fixed Point naye akaja kuharibu mambo. Habari za ex na mazaga zaga yao zinakujaje kwenye party takatifu?

Yaani huyu babu yangu Dark City anataka kutwambia amezeeka hadi zila laws za use and disuse zina apply moja kwa moja kwake.
Kweliametuhekesha. Lol

Tatizo lenu ni kudai ushahidi hata katima mambo ambayo hata kipofu anayaona!
 
Last edited by a moderator:

Najua huu ni uchokozi kama wa mdogo wako snowhite....

Sasa wewe unaanzia wapi kuingiza mambo ya ....ya kale kwenye party yetu??

Natamani nikuone sasa hivi tumalizane!!
 
Last edited by a moderator:

Veeeeeeeeeery classy!
Nimesikiaje raha
Mwaaaaah!
 
Najua huu ni uchokozi kama wa mdogo wako snowhite....

Sasa wewe unaanzia wapi kuingiza mambo ya ....ya kale kwenye party yetu??

Natamani nikuone sasa hivi tumalizane!!

Kaizer ukujeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Babu kaamua liwalo na liwe!
Fixed Point Apigweeeh tu!
Babu thank you!
Mwaaaaaaaah(demo inabadilika sasa ni we we na Dada kubwa!
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaaaaaaaw! THANK YOU BABY WANGU, PIKO WA MOYO WANGU, MY LOVE, FRIEND, RELATIVE, PARTNER Matola for comming in my life! I will always love you, and you will have a special place in my heart always!
Safi sana!
Lakini just in case:
Kama maudhui ya uzi yanavyotuelekeza,
Mkizinguana.***'Thank you for the-party-before inahusuka'.
 
ooh!thank you ..it was beautful
kwa ma-x wangu woteee!
 
Kaizer ukujeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Babu kaamua liwalo na liwe!
Fixed Point Apigweeeh tu!
Babu thank you!
Mwaaaaaaaah(demo inabadilika sasa ni we we na Dada kubwa!

Ukitaka kuona mtoto mchokozi wa kutisha basi mtu hana haja ya kwenda mbali.....

Babu na demo wapi na wapi??
 
mbona unaanza kutuombea mabaya? au wewe ni muumini wa serikali ya nkataba?
Tunachotaka ni Tanzanyika yetu na Zanzibar huru.
Mkataba,Mka taba,Nkataba, MKAaTABAh haijalishi tuingie wapi yakhe!

Back to ze topic:
Nawaombea kila lililo jema kwenye uhusiano wako wewe na bibie mtata (nimuonavyo miye)
Hilo angalizo nimeweka tu 'Just in case' kwani ilishasemwa- Nothing lasts forever.
 

Hahahahahaa...babu nakukubali sana mwaya.
Hakuna haja ya ushahidi tena
 

I wanted to read this again before I go to sleep
thank you for the useful post muuza ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli TB lakini kwa upande mwingine kuna tofauti kidogo na matukio uliyotumia kufanya mlinganisho. Kwa mfano suala la watu kukufanyia fitina ufukuzwe kazi ni kwamba wanakuwa wamekusudia tofauti na hawa Spain wao hawakukusudia kutolewa kizembe vile ila ndo hivyo imetokea.
 
Hata ukiwa chukia haisaidii...waambie tu inatosha ..all the best..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…