Hii ni 'pure class'...

Hizo dakika 20 za Algeria naomba unitumie matokeo....

Nimechoka bwana....
 
Hawa jamaa wa Algeria wanataka kuchemsha.....

May be na sie tuwashukuru kwa Party ya magoal ya kipindi cha kwanza!
Usikate Tamaa pls!
Party ya magoli matatu kipind cha kwanza tutawashukuru tuu IMA Faima !
 
Mkuu The Boss, kwa kuhofia kuitwa tena 'womaniser' na 'teamB' naomba kubaki kimya. But believe me...I always practice this. So, once more...THANK YOU FOR THE PARTY.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss, kwa kuhofia kuitwa tena 'womaniser' na 'teamB' naomba kubaki kimya. But believe me...I always practice this. So, once more...THANK YOU FOR THE PARTY.

kaka mbona unajihami? mwanaume kujiamini bhana.
 
Last edited by a moderator:
Umenena mkuu japo umetonesha kidonda maana Spain ndio lilikuwa chama.

Ila kwa England ni tofauti sababu huwezi kusema thank you for the party if there wasn't any party before,England haijashinda kombe lolote kwa muda mrefu sasa dnt expect mashabiki waseme thank u

with that regard the Spainish have all the reasons not to complain cause "You can not be a champion forever",kila mtu na zama zake,lazima wapya waje.

All in all whatever the case,we should learn to be thankful for everything so u have a point bro.
 
Thank you rafiki......
Ndo maana sijawahi kuendeleza biff na x, sababu huwa nakumbuka "the party before" kuliko yaliyonifanya tuachane....... kutokuwa na biff hakumaanishi kuna uwezekano wa kurudiana..... (hii haijawahi nitokea).
Na labda niseme tu hapa kwamba, kukumbuka zaidi the party before kunakufanya utamani kuingia kwenye mahusiano mengine yatakayokupa starehe zaidi......... kukumbuka machungu kunakufanya uogope, hata ukipata mingine anayekupenda sana utakuwa na wasiwasi tu na ndo mwisho unajikuta unaona kila mtu hafai...........
 
snowhite, tuna nini mimi na wewe?
Mstaafu Dark City, salamu zimefika....... msalimu sana bibi and the party should go on and on.......
Ila nikukumbushe tu hapa The Boss anasema usisahau kusema thank you for the party kwa wale waliopita, bibi yeye anashukuruwa na ataendelea kushukuruwa tu no matter what..... una choice na wewe ulishastaafu? ha haaaaa
 
Last edited by a moderator:
Asante sana The Boss,,,nimeipenda!"Thank you,it was beautiful"!Wengi huwa hatukumbuki mazuri tuliyotendewa,tunakumbuka mabaya tu!Hili ni jambo la kujifunza!
 
Last edited by a moderator:


wow ! really
 

Kaka The Boss umenikuna sana hapo, awali wakati nasoma uzi wako sikujua unapoelekea lakini baada ya kufikia hiyo paragrafu ya mwisho nikapata jibu.
Uliyoyasema yana ukweli mkubwa tu, lakini Je ni wangapi tunaoweza kufurahia mwisho wa kuserebuka wakati ndiyo kwanza ngoma inaanza kunoga? Ni wachache sana, nakumbuka miaka kumi na miwili iliyopita niliwahi kuumizwa, na niliumia kweli kweli, na kidonda hicho kilinikaa kikanijengea kisirani ambacho kilinifanya nikosesubira, katika kujenga mahusiano imara. Ni pale tu nilipopambazukiwa na kujifunza kuhusu upande wa pili wa shilingi baada ya kugeuza sarafu yangu na sasa nimekuwa msaada kwa wengi. Uzoefu nilioupata ulinifanya nijifunze sana kuhusu swala zima la mahusiano.

Ahsante sana kwa uzi huu ambao na mimi umenikumbusha jinsi The end of the Party yangu ilivyoniletea jakamoyo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…