Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

Wea iz it plz????? Ngoja niuze haya mahindi lazima nikajionee vitumbua.
 
Taratibu kiongozi,
hiyo bar naifahamu vzr,ni ya mhimu sana pande hizo,
hilo jambo ni la kuvumiliana kidogo wkt tunajitahidi kufanya marekebisho,
ila uache umbea mkuu,ila
ki kawaida hakuna choo cha cha kubadirisha nguo huku ukionekana,
acha ushababi.
 


anagalia kama wanavaaga chupi kwa ndani unijulishe mi
ni mpenzi wa fasta ikiwa na ndom sijui wewe
ahsante kwa taarifa
 
Kuna umuhimu wa kwenda mahala hapo kutoa gundu na msongo wa mawazo inapobidi.
 
Hata huku ninapoishi kuna bar inaitwa `------ Bar' yaani kama uko ndoani usikanyage kbs hapo kwani ni lazima uzini hata kama uwe kardinali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…