Hii ni kwenu wasichana

Ahahahahahah
 
Mateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Mkipendwa shida, msipopendwaa shida. Viumbe gani nyie. Kwendreeeeenii

Hahaha... ivi wanawake wa namna hiyo bado wapo??? Kama yupo nataka niweke booking
 
Hahaaa.. U r good husband. Kampooze plz
 
Nani kasema? Na inasemekana huwa wanaganda kwasababu ya hofu ya kuachwa
Jaribu kuacha halafu baada ya wiki mbili rud uone kam vyumba vitakua havijaa. usijidanganye uko
 

Bora umsikilize siku alinyanaza utajuta. Kuna Jirani ameoa Dr. Mke akirudi home kama kakutana Na wagonjwa WA ajabu ana simulia mmewe, Mme akachoka akasema sitaki story zako. Basi mke akanyamaza mpk Leo huko ndani hakuna maongezi zaidi ya salama mke Kapata sehemu ya kuongea Na kutoa yaliyo moyoni mwake. Mme kaomba msamaha lakini tayari asha haribu
 
Hao wanawake wanaolalamika lazima watakua below 25..... Too much childish in love, ila matured girls don't do that, ila pia sometimes Kuna sababu, labda ni kawaida Yao kuwa karibu Muda mwingi hata Kwa njia ya mawasiliano so inapotokea mtu aka mute ghafla lazima mwenzie ashtuke kidogo, so it's better kumfahamu your man, ila hata mwanaume ni better amfahamu mwanamke wake, hata anapohitaji hiyo space, amwambie tuu mwenzake ili kuavoid such small misunderstanding
 
Wanaume bhana !ukimpigia cm kila siku atasema anahitaji space na blah blah kibao ukikaa kimya utashangaa unaambiwa unakiburi sana kwann hupig simu?asa tufanyeje jamani
 
Sasa apo mweny kosa sio Mme ni mke mwnyew coz co kila MTU anapenda mistori ya ajabu ya ugonjwa na wagonjwa wako vipi uko mawodini.....at list angebadilisha story buanaa khee ata mim ningamaindi....![emoji28] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…