Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
haaaaa!na we kumbe ni mwanaume?
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
mwanamke wa kichaga utamjua tuu!!!Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
si ndio nimeona hapo best!tena rijali
hSawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi.
sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama umempenda. muonyeshe kama umempenda ili awe na matumain lakin usimkubali haraka.sisi tunaamin ukikubali haraka basi utakuwa kicheche.mtuzungushe zungushe.
pia siku za kwanza kwanza msipende kutuomba ela sababu ukiomba ela mapema unaonekana ujatulia. harafu mkiomba ela muite sana neno sweet, etc.
pia mjifunze kupetipet. kubembeleza.kutabasamu ata jitaid kutuma msg nying kama nimekumiss ata kama ujatumiss.
pia kukiwa na ugomvi usipanic bali kuwa mwepesi sana kuomba msamaha apo mapenz yatadumu.
pia muonyeshe unampenda. mkifanya hivo na sisi tutawapenda sana wala kuachana kutashindwa.
mwisho usiwe muda mwingine uko unachat kwenye simu sababu sisi tunaamin utakuwa unachat na wanaume ata kama atutouliza.
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
h
Wapenda pesa sana wewe. Kwa nini usiolewe na Benki????????
Heeh. Mie akiniangalia angalia tu nakuuliza unanitaka? Una sh ngapiiii?
Mambo ya longolongo yashapitwa na wakati!