Hii ni kawaida?

Hii ni kawaida?

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
982
Reaction score
1,612
Wasalaam wakuu,
Kuna hali hua nakutana nayo ya kufananishwa na watu mpaka mda mwingne hua nahis ipo siku inaweza kuniletea madhara,maana unakutana na mtu anakusalimia kama anakujua vile nikimwambia mm sio amdhaniaye bas hua anashangaa na kubaki kucheka,mwingne anakuja kabisa anakukumbatia nabaki namshangaa.sio mara moja,mbili,tatu au nne inatokea sana kwangu.
Sasa najiuliza hii ni kawaida au ni vipi.
Naomba wajuzi wa hii kitu wanijuze.
Shukrani
 
Kwa mtazamo wangu wewe ndio unasahau watu. Watu wanaokusalimia na kukukumbatia wanakufahamu vizuri, ila wewe inaonekana hujishughulishi kufahamu watu au una maringo. Sometimes watu wanapotezea wanapoona umewakaushia. Badilika
 
Mkuu sio kwel,kumbukumbu zangu zipo vizuri na pia habar za maringo sina kabisa
 
Ni lazima utakuwa na kitu flani cha kipekee, mfano fundi maarufu, mwanamziki/msanii, mfanyakazi wa ofisi flan maarufu, dereva wa vyombo vya usafiri wa umma, mwanamichezo, kiongozi wa kisiasa au kidini.. nk. na ndio sababu watu wengi wanakufahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom