Huyu mtoe kwenye urembo ni mwenzetu tu 😎 😎 😎Kuna warembo kama akina @cocastic
Nagombanaje na mtu jamani wakati hapa ndio napopata nafasi ya kupunguza stress. Nikigombana na mtu hapa sii ndio majanga.Mzabzab anapenda zaidii 😂😂😂.. mkuu sijawahi kuona umegombana na mtu hapa
Unique Flower ety mzabzab anapenda utramuuu.Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana.
Kuna wenye ushawishi kam Mshana
Watu wajuaji na wabishi kama kiranga
Wenye degree za maisha kama Analyze
Wapo wapo wasomi wa ngazi na taalum tofauti
Pia kuna matajiri kam akina kidukuliko
Wapenda utani, wacheshi
Wapo wenye majivuno na majigambo
Kuna warembo kama akina cocastic
Wapo wwanapenda utamu kama akina mzabzab
kwa ufupi hii ni jamii tukubaliane na watu wa kila aina , mtu anasema watu wa facebook wamevamia au unakuta thread flani anasem peleka huu upuuzi facebook.
Tusichukuie kila kitu serious kihivyo hapa .
Hii inahakisi jamii kipaumbee chake kwa sasa ni niniNyuzi kibao za mambo ya msingi hazijibiwi. Ila nyuzi za kipuusi zinajibiwa sana
mfano:
Msaada jinsi ya kusajili VICOBA
Habari wana JF, Nataka kufahamu process zote za kusajili kikundi cha kikoba, kitu gani kinahitajika na wapi pakuanzia. Mwenye uzoefu naomba anifafanulie hatua zotewww.jamiiforums.com
Kipaumbele cha sasa ni katiba mpya, hali ngumu mtaani, ila mada za KATAA NDOA zina faida gani?Hii inahakisi jamii kipaumbee chake kwa sasa ni nini
Wee mwenyewe unapenda utamu...ngoja siku nije mwanza tuzagamuaneUnique Flower ety mzabzab anapenda utramuuu.
Aah hapa natoa stress pia mkuu nikikutanaga na comemet za wanajukwaa.. ngoja nikuombee kwa @toyeyeNagombanaje na mtu jamani wakati hapa ndio napopata nafasi ya kupunguza stress. Nikigombana na mtu hapa sii ndio majanga.
Wee kukule mbususu tuu sema warembo wa jf wachoyo hao na mbususu zao🤣🤣🤣🤣🤣
@to yeye hanifai yeye hapendi ile style ya bonoka nikulenge anasema eti hapendi chunguliwa matundu yoteAah hapa natoa stress pia mkuu nikikutanaga na comemet za wanajukwaa.. ngoja nikuombee kwa @toyeye