Hii ni ishara gani baada ya tendo

Sababu zipo nying ila nadhan atakuwa mwathirika,mlokole au amemsaliti jamaa yake lakini apo ipo ivi alichotarajia toka kwako haja kipata
 
Kila mwanamke ana style yake akifika kileleni mfano wengine wanang'ata,wanafinya,wananena lugha za ajabu,wanazimia,wanalala usingiz mzito na wengine wanalia;Hongera mkuu huyo alifika Kibo
 
Ulifanya kazi vizuri mkuu hivyo usiwe na hofu boss ni mambo ya kawaida hayo

Kula tano lalia mgongo
 
Wee jamaa una uhakika hizo bao mbili ni za ushindi kweli au game imeisha kwa sare.
 
Back
Top Bottom