Hii ni ishara gani baada ya tendo

Mjinga mmoja wee.

Kwaiyo unahisi niyakike kisa nmeandika

Unalooooooo Babu??? Ujinga wako nipale utakapoyataja haya maneno vile ambavyo wanawake hutaja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aiseeeee..... Kidogo nimechelewa kufika kwenye huu Uzi.
Naomba kuwasilisha.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Alichotegemea si kile ulimpatia.
 
Tafisida kidogo [emoji85]
 
Demu analia sababu amekuua na ngoma.

Hamna kingine, izo bao mbili za ushindi ,zinaenda kua bao mbili za kupoteza mechi[emoji23][emoji23][emoji23].

Unaloooooooooo Babu[emoji23]

 
Ipo sawa kiongoz parhaps ngoma labd
Ila kwa ushaul zaid akapime magonjw ni meng
 


Huyo demu ni mwema sana, alikuwa analia kukuonea huruma kukuambukiza lile gonjwa, hakutaka ila ulimazimisha hivyo hakuwa na budi bali kukuambukiza tu.
 
Hukumfikksha kilele na hawezi kukuambia. Anaishia kulia tu
 
Nahisi hakuwa na mpango hvyo akajikuta unamla so analia kujutia tendo, bt wengine huwa wanazuga kulia ili ufeel guilty kumla wakati moyoni wamefurahi.
Don't trust a woman huwa hawamanishi wanachotoa sema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…