amekimbia deni! alikua anadaiwa na mama mkwe wake mahari ya binti hakua amemaliza kuilipa na aliahidi siku iyo angemaliza !Kuna jamaa mmoja jana amefanya kituko..........alikuwa kakaa kijiweni na rafiki zake, ghafla kwa mbali akamuona mama wa mkewe akija na njia ile kilipo kijiwe chao. Jamaa akakimbia na kujificha hadi yule mama apite, lakini na yule mkwe wake kumbe nae alimuona jamaa naye akabadili njia. Jamaa aliporejea pale wenzake wakaanza kumtania kwa kuwa muoga mbele ya mkwe wake lakini yeye akajitetea kuwa ile ni heshima..Hivi hii ni nini maana sehemu nyingine watu wanakimbia kabisa ili kukwepa tu wasikutane na wakwe zao wawapo barabarani......
<br />Labda hakuwa na kitu mfukoni.
<br />
<br
Nakuunga mkono mamamkwe, hakuwa na njururu, mapesa mfukoni, hata ningekuwa mimi ningemkwepa kiaina.
Huo ni umasikini wa akili tu. Kwa nini umwogope Mama Mkwe? anapaswa kuheshimiwa sio kuogopwa.
Jamaa kuna mambo hayaendi sawa kwenye familia yake ...
makubwa hebu tuambie kabila gani hilo makaka zetu wakaoe!Nimewahi sikia sijui ni kweli kuwa kuna makabila....mume hakataliwi kitu
kama mke mgonjwa unapewa mdogo mtu,ikishindikana mama mkwe anajitolea
nalitafuta hilo kabila lol