MC7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 592
- 491
Hahahahhaahhahkwa hyo protokali haijazingatiwa? lakini si unajua mkuu akitimbaga sehem watu hata reasoning zinakuwa low
Hahahahhaahhahkwa hyo protokali haijazingatiwa? lakini si unajua mkuu akitimbaga sehem watu hata reasoning zinakuwa low
ndio hivyo mkuu,unawez vaa blazia badala ya vestHahahahhaahhah
kuna mtu nyuma ya pm bana au?Protokali imekaaje PM ambebee handbag vice?
kweli mkuu kuna mtu nyuma ya pm[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM
Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.
Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
Sky, huu ni uchochezi. HahahaProtokali imekaaje PM ambebee handbag vice?
Mkuu uko makini sana,popote ulipo agiza coca baridi nalipa hapo kuna mtu nyuma ya PM
Ya mlinzi/bodyguard wa VP pochi imebebwa na mtu aliyesimama nyuma ya PM
Uko sahihi sana sio PM kabeba hand bag.[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM
Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.
Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
Sasa kwani nani kaibeba mkuu tumia miwani ikibidiBodyguard wa mama alitakiwa aibebe.
No hapo nyuma ya PM yuko mama ambaye nadhani ni mlinzi wa VPProtokali imekaaje PM ambebee handbag vice?
ya mke wa bashite hahahaaaaaa
kuna mtu kabeba hiyo pochi nyuma ya pm uwe unaangalia vizuri kabla ya kuleta mashudu yak!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kaiba hiyo, huko ndani alikotoka lazima mtu alie. Jasiri aachi asili.
Hamna mtu pale kwa nyuma ya PM[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM
Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.
Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa