Hii ni handbag ya nani hapo kwa PM?

Hii ni handbag ya nani hapo kwa PM?

mama naye hajiamini au?lkn nidhamu ya dhati hiyoo safi sana mama .....
 
Angalieni picha kwa umakini. Hiyo handbag imebebwa na mtu aliyesimama nyuma ya Makamu wa Rais. Waziri Mkuu hajabeba chochote.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-10-14-50-19.png
    Screenshot_2017-03-10-14-50-19.png
    83.1 KB · Views: 31
  • Screenshot_2017-03-10-14-50-19.png
    Screenshot_2017-03-10-14-50-19.png
    83.1 KB · Views: 32
Hiyo hand bag haipo mkonon mwa pm jaman kuna mtu nyuma yake nadhan n bodyguard wa mama samia
 
Hiyo handbag hajaishika PM, kuna mtu nyuma ya PM ndio kaishika hiyo hadbag na huyo mtu ni mfupi atakuwa yule msaidizi wa kike wa Vice presidaa. Kuza hiyo picha kisha angalia vidole vya PM hajashika hiyo handbag. Huyo mtu alie nyuma ya PM yupo karibu sana na mlango wa kioo ila ni mfupi anaonekana nguo yake nyeusi imetokea kidogo background.
 
Hee! Leo body guard wa mfalme ameshonewa suti mpya? Hii ndo inamfaa. Sio ile ya mabaka mabaka kama anaenda vitani!
 
Mbona inaonesha hajashika yeye.

Tizama kwa makini utaona.

Regards
DTJ
 
Nyuma ya Vice President yupo mtu, ambae amezibwa na Mh PM, ndio ameshika hiyo hand bag, hata ukiangalia position ya handbag na ya waziri Mkuu inaonyesha kabisa sio yeye aliyeibeba. Nafikiri ki-protocol hawezekani MP kumbebea handbag VP wakati wasaidizi wake wapo.




 
[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM

Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.

Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
Upo sawa, na vilevile kuna picha nyingine imeonyesha mpambe wa makamu wa rais ndiye alishika huo mkoba
 
[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM

Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.

Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
Jamaa unakula mchicha! ila kamtu kenyewe ni kafupi PM hajabeba mkoba bandugu.
 
Hamna mtu pale kwa nyuma ya PM
ukiingalia vizuri sanaa na kwa ukaribu ni kama imeegeshwa kwenye kitu inaning'inia nadhan mlango
Mtakuwa mnajiabisha bure, PM hajabeba mkoba kwanza kwa nini abebe ? wasaidizi wa mama wana kazi gani?
 
Back
Top Bottom