Hii ni handbag ya nani hapo kwa PM?

Hii ni handbag ya nani hapo kwa PM?

Mbona hajaubeba yeye. Kama mnaongelea kiutani poa, kama mlifikiri kaubeba DUH
 
Hapana jamani nyuma ya mama Samia kuna board guard wake ndo kabeba hiyo pochi, ila yeye haonekani, inaonekana pochi tu.
 
Protokali imekaaje PM ambebee handbag vice?
Unafiki tu hakuna protokali yoyote hapo. Halafu sijui alitaka isionekane, kumbe mpiga picha mjanja ka sungura, yupo upande huohuo wa kipochi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila inatafakarisha sana, hongera sana mpiga hii picha
 
[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM

Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.

Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
Hiyo MTU alimkumbatia pm kwa nyuma mini maana hata miigguu isionekane kwani kuna dhambi kumbebea kikoba
 
Hivi haya mazoea yaliyopitiliza yataisha lini?

Kwanini afanye hivyo sasa? Huyu si mke wa mtu halafu na yeye ana mke wake?

Wameshazoeana hivi? [emoji15]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM

Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.

Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wamuache tu apumue jamaani.
 
Back
Top Bottom