Yakusimamisha rungu
Una tabia ya wizi.Mgeni kafika unaanza kumsachi.Marabook kabisa!
Si kwamba wanasema popo huwa hawalali?
Ni dawa zakusaidia kuongeza nguvu za kiume nakutibu dysfuction zozote kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume.
A.k.a buster
Mbona haujaongelea kazi nyengine ya hiyo dawa mkuu? Mfano inatumika kutibu tatizo la uume kulegea, pia inatibu matatizo ya tezi dume hasa iliyoongezeka au inayoanza kuongezeka kitaalam wanaita ( benign prostatic hyperplasia (BPH) ) .Ni jamii ya viagra hiyo.jamaa kitombi sana huyo yaelekea