grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,654
Inatumika kutibu matatizo mbali mbali ya mfumo wa uzazi hasa kutosimamisha vizuri, tezi dume iliyoongezeka na mengineyo mengi .
Ila samahani lakini mkuu kwa kuuliza ili unitoe kwenye hii sintofahamu mbona vidole vya kiume hivyo kwenye picha?
