Hii ni akili au kukengeuka?

Napenda maisha ya kulima bustani za mboga mboga kama hivyo
Yaan nikiona mchicha vile umestawi na unapokua unapulizwa na upepo ni raha kuangalia na inaleta msisimko

Bustani ya mauwa hii ni nzuri zaidi kama maua yana rangi tamu za kuvutia
Nikiangalia naona rahaaaaa nahisi utulvu

Shida ni space kama inaruhusu unaweka vyote kipengere kinakuja kiwanja ni 20×20 😁😁😁
 
Usijitetee tena kuhusu eneo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…