Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndo angekipromoti kiswahili. Nawasilisha
Acha ushamba ww, hicho alichokiongea ni kiingereza cha wengi katika kiswahili. Kama aliyekuwa anaulizwa alikuwa anajibu tatizo lipo wapi, lugha yoyote dhima yake kuu ni kufanikisha mawasiliano/kuelewana, ulishasikia chochote kuhusu lugha za creole na pidgin

Kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza. kukosea ni jamabo la kawaida. Hebu na nyie mnaojidai kumkosoa jaribuni kuandika kiingereza chenu tukione!
Acha uzembe wewe, sasa kwani kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuongea kiingereza??. Muandishi wa habari ni kioo cha jamii nyama wewe!!! We mwandishi wa habari anakaa anaongea upuuzi ule wakati jamii inatakiwa ijifunze kutoka kwake. We kikaragosi, do you really know the role of a journalist to the public??
I can't get the photo!