Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
Mpaka mwanamke achepuke lazima kuna sehemu mwanaume hujakaa sawa. Pengine umejisahau humpi haki yake ipasavyo unamchukulia poa tu
 
Hamu ipo ya Aina nyingi mkuu
 
Safi Bro. Huu ndio ukomavu kwenye ndoa. Nakupongeza kwa kuwa ulitumia hekima, hukupaniki, ulivumilia na kubwa zaidi ulimaliza mambo ya siri ya ndani wewe mwenyewe bila kuathiri ndoa yako na watoto. Wanaume wengi hii huwa inatushinda.
 
Baadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha yanasonga kiulaiiini.
Pamoja sana mkuu
 
Nanga nikikumbuka unavyokuwa unajibu kibabe ..kwenye nyuzi nyengine...
Nacheka kimya kimya.....

Aisee..
wamekubananisha rafiki yangu...
muulize jamaa kama anamtaka umuachie ......
 
Huwajui vizuri wanawake wewe.Mwanamke akiamua kuchepuka haijalishi unampa nini au unamfanya nini
Utaoa mara ngapi kama utakutana na hao wanaochepuka ? Tena ni bora huyu aliyechepuka ana uoga ndani yake, mwingine hata hofu hana. Anachepuka hadi na ndugu yako.. Huyo m.mke ni mrahisi sana kubadilika ukiongea naye, kilichomponza ni wewe kumuacha mbali nawe
 
neno!
 
Umbali sio tatizo ndugu yangu hiyo ni tabia yake tu tena baadhi ya wanawake akijua kuwa umeyajua mambo yake hata uongee nae hupati kitu dawa ni kumuacha ukibisha na ubishe ukikaa nae ujiandae kwa kifo cha kujitakia
 
Jina lako limenikumbusha mbali saaaaana.
Yaani waonalijua maana yake watakuwa wanacheka tuu 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu pole sana, haihitaji degree kuamua umfanye nini, huyo ni kumuitia wanafamilia umrudishe kwao, anaweza kukuua kwa ukimwi, huyo ni kunguru hafugiki. Ww utaweza kulea watoto wako bila yy. Ushauri wangu achana nae mkuu, lkn maamuzi zaidi unayo ww.
 
Umemjua ! Umemjuaje ? au wewe ndo mwizi wake, ht ushauri wako huo nina mashaka nao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…