Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
Daaah pepo la kuoa oa linipitie mbali "... maybe nitaoa tu if nikiwa masikini maana ili niweze kuwa na uhakika wa kugegeda itanibidi ni tafute wakumfunga speed gavana " ila kama Niko mcharo " Aisee ndoa naomba niishie kuisikia kwa radio ".... huwa hatuambiani ukweli " lakini ndoa ni moja ya sababu zinazo changia wanaume kufa mapema mnoo achilia mbali kwenda Jela
 
Mkuu piga chini huyo " mtu " atakuletea Magonjwa " ama utakuja kulea Mtoto ambaye sio wako
 
We chepuka tu ili kuondoa stress, ila muulize mkeo akueleze ukweli na ikibidi andaa fimbo umchape usimpige na ngumi utamuumiza
 
Huyo jamaa yako naye yumo humu na ameuona uzi wako. Ameanza kutafuta ushauri naye
 
Asee pole mkuu.


Nikuulize , vp wewe uliwahi Ku cheat tangu ulivyooa?
 
Dawa ya usaliti ni wewe kuendelea kuwa mwaminifu.
 
Zamani nilikuwa najiuliza kwa nini watu wanaoa ma-polygon;kumbe jibu lake ndio hili,hutokuwa na presha kwa sababu watu hawamtongozi na wana mapenzi ya kweli kwa sababu vishawishi hawana.
 
hilo kuendelea nae litakuuma maishan milele,,,, kila ukikumbuka au kumuona jamaa lazma utaumia tu,, la maana maliza uhusiano anza maisha mengne,, hao hawaachani watapotezea kwa mda baadae wataendelea kupeana,,,,,,,,,,,,, kumbuka mwanaume huwa haachi mwanamke
 
kama mna miaka Zaidi ya kumi ktk ndoa ,na jamaa kamchukua mke kwa mwezi tuu ,usijali endelea tuu na mkeo miaka 10 sio sawa na miezi ,ila mwambie mkeo aende kwa jamaa mara ya mwisho then AKOME abaki na wewe
Mmhh
 
Baadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha yanasonga kiulaiiini.
 
Mkuu tupe mrejesho umeamuaje? siku zinakimbia...na hasira zinapungua hasa pale atakapokuambia karibu baby tupumzike.
 
Pole sana...

Kinachokuuma hapo ni kipi? Mbona hakuna kibaya... au kumwambia ana hamu mwezi wa pili?


Cc: mahondaw
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…