Hii ndoto inamaanisha nini?

Hii ndoto inamaanisha nini?

Sawa, binafsi nahisi huu ni ujumbe ambao pengine umefunuliwa kwa namna tofauti ila Umekuwa ukipuuza.

Nahisi Ujumbe unaopewa hapa ni kwamba unaouweza wa kiroho wa kuona tamati ya jambo fulani zuri au baya.

Kama ni mtu wa imani kabla ya kulala hakikisha umefanya maombi mazito kumuomba Mungu akufunulie kazi za hii nguvu uliyonayo.

Kuna uwezekano mkubwa matukio ya namna hii yakaendelea kujitokeza hadi pale utakapoelewa ujumbu unaoletewa.
wakati mwengine naogopa kwamba yatakuja mazito sitaweza kuhandle
 
Ndoto zinatumika kutekeleza mambo mengi ambayo katika uhalisia pengine ni ngumu. Hata watu ambao hawawezi kukufikia kikawaida, huwa wanatumia ndoto.

Ndio maana ndotoni ukimuota mbaya wako, usipokee au kumpa kitu chochote. Maana hiyo part inakuwa halisi.
ninaota ndoto za kukaribishwa kula lakini ikifika nataka kula huanashtuka hapohapo na najikuta hua najiuliza ndotoni mbona kama nyama sielewi ni nyama gan imekaangwa wakat huo nafosiwa kula ni tam mimi nikishika tu kipande lazima nitashtuka nishazoea sasa
 
Unalala kwanza usingiz unaisha ,ndio unafanya ,pia ukipata mwongozo ni vizuri zaidi kwa sababu kila aina ya meditation ina kazi yake.
naupata kupitia wapi google? sina elim kuhusu hii kitu zaidi ya kusoma soma tu
 
Nimejaribu hiyo kitu, sikuwahi kutoka nje ya mwili nilikuwa katika stage ya naweza kusema ya mwisho kabisa ili nitoke nje ya mwili lakini nilichokutana nacho kilinifanya nisitishe hilo zoezi.

Nimejaribu kusoma sana kuhusu hilo jambo maelezo ya wataalamu wa hayo mambo wameelezea pia hatari yake.
ulikutana na nn? hebu nielezee
 
Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje.

Mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikishtuka kulipokucha sikuifatilia sana nikaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hiyo njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekuwa najiuliza hii sehemu niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nini?
Acha kuzifatilia ndoto mpenz zitakupotezea muda
 
NDugu yangu wewe utafika mbali sana kisiasa, hiyo njia inaashiria unatoka chini kabisa kisiasa mpaka juu kabisa, hiyo minazi mitatu ni Rais, waziri mkuu na Makamu wa rais mnajadili jambo kwa pamoja....kwa kifupi hiyo sehemu ni Ikulu....umetusua kijana.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
ninaota ndoto za kukaribishwa kula lakini ikifika nataka kula huanashtuka hapohapo na najikuta hua najiuliza ndotoni mbona kama nyama sielewi ni nyama gan imekaangwa wakat huo nafosiwa kula ni tam mimi nikishika tu kipande lazima nitashtuka nishazoea sasa
Watafsiri wa ndoto wanasema kuhusu kulishwa nyama Ni ndoto mbaya Sana inahusiana na ushirikina na uchawi
 
Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje.

Mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikishtuka kulipokucha sikuifatilia sana nikaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hiyo njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekuwa najiuliza hii sehemu niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nini?
kiuhalisia usiku unapolala,roho huwa inatoka na kusafiri pote pale,ndo manake unaambiwa usimwamshe kwa kumstukiza mtu aliyelala anaweza akafariki!!,,,,yaani namaanisha mwili ni jela ya roho,na siku unapokufa ndo siku roho yako inapokuwa huru,,,,,,,yaani kwa watu wenye imani kali ni kwamba,,,"siku ya kuzaliwa ndo sikuya kufa {ndo manake unalia sana kwa uchungu nausipolia unapigwa vibao vya mgongo mpaka ulie na ajabu ni kwamba walikuzunguka wanacheka kwa furaha,na siku yako ya kufa wewe unakuwa kimya lakini waliokuzunguka wanalia kwa uchungu}
 
NDugu yangu wewe utafika mbali sana kisiasa, hiyo njia inaashiria unatoka chini kabisa kisiasa mpaka juu kabisa, hiyo minazi mitatu ni Rais, waziri mkuu na Makamu wa rais mnajadili jambo kwa pamoja....kwa kifupi hiyo sehemu ni Ikulu....umetusua kijana.
Kwa vile umeongea ndio basi haiendi hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom