Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,006
- Thread starter
- #101
wewe unaenda mbali siasa kabisaa mimi ni circle yangu na familia yanguNdio, mie huwa naona matukio kabla hayajatokea kupitia ndoto. Mfano; Balozi Polepole wiki hii awe makini kazini kwake, kuna kitu kibaya nimeoteshwa.
Sent using Jamii Forums mobile app