Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Astral travelling.
Kuna ndoto huwa inajirudia kwangu iko hivi, niloachana na BF wangu miaka 5 iliyopita. Kwa kweli ndio niliyempenda kwa moyo woote. Ila ndotoni kila ninapomuota naota yuko pamoja na maisha yanaendelea wakati tulishaachana miaka mingi kila mtu ana maisha yake ns familia yake. Why nisimuote huyu niliyenaye?
Wewe umeielewaje mkuu?Hahaha umepotoshwa mno mkuu.
Mwaka wa kumi nafanya meditation , asubuh na usiku wa manane ,naijua vilivyo boss hizi mambo za kufa ni story za abunuasi .Wewe umeielewaje mkuu?
Simaanishi hii meditation ya kawaida, namaanisha hiyo ya kutoka nje ya mwili ukiwa umelala.Mwaka wa kumi nafanya meditation , asubuh na usiku wa manane ,naijua vilivyo boss hizi mambo za kufa ni story za abunuasi .
Hiyo naifanya kila siku , haina shida yoyote binadamu hawezi kufa tu kama mda wa kupata uzoefu haujaisha, kifo kinakupata kwenye hali yoyote unaweza ata paliwa na maji ukaondoka.Simaanishi hii meditation ya kawaida, namaanisha hiyo ya kutoka nje ya mwili ukiwa umelala.
Wewe unaifanya kila siku ni sawa lakini kwa mtu anayejifunza ni vyema ukamueleza na consequences zake.Hiyo naifanya kila siku , haina shida yoyote binadamu hawezi kufa tu kama mda wa kupata uzoefu haujaisha, kifo kinakupata kwenye hali yoyote unaweza ata paliwa na maji ukaondoka.
Meditation ina step zake unatakiwa ufanye kwa mwongozo maalumu kila hatua ,mpaka uwe master , pia nikutoe hofu mtu awezi kufa kibahati mbaya ukiona kaenda ni ilipaswa iwe hivyo .Wewe unaifanya kila siku ni sawa lakini kwa mtu anayejifunza ni vyema ukamueleza na consequences zake.
Swala la kutoka nje ya mwili si jepesi kama unavyotaka kutuaminisha, kuachana na mwili milele ni swala jepesi sana kwa mtu anayejaribu bila utaalamu/uzoefu.
Nami nitabirie nimekula nini usiku huu?NDugu yangu wewe utafika mbali sana kisiasa, hiyo njia inaashiria unatoka chini kabisa kisiasa mpaka juu kabisa, hiyo minazi mitatu ni Rais, waziri mkuu na Makamu wa rais mnajadili jambo kwa pamoja....kwa kifupi hiyo sehemu ni Ikulu....umetusua kijana.
Maisha ni zawadi, ni mjinga pekee atayefanya jambo hatarishi akitegemea hatopata matokeo yake.Meditation ina step zake unatakiwa ufanye kwa mwongozo maalumu kila hatua ,mpaka uwe master , pia nikutoe hofu mtu awezi kufa kibahati mbaya ukiona kaenda ni ilipaswa iwe hivyo .
Ulishawahi kufanya Astral projection au unasikia fununu tu mkuu ,ukute unaongelea fununu.Maisha ni zawadi, ni mjinga pekee atayefanya jambo hatarishi akitegemea hatopata matokeo yake.
Nimejaribu hiyo kitu, sikuwahi kutoka nje ya mwili nilikuwa katika stage ya naweza kusema ya mwisho kabisa ili nitoke nje ya mwili lakini nilichokutana nacho kilinifanya nisitishe hilo zoezi.Ulishawahi kufanya Astral projection au unasikia fununu tu mkuu ,ukute unaongelea fununu.
Mmh my tangu lini umeanza kuwa na upako?Ulikuwa unayaelekea mafanikio…sijui yapi sasa….maadui ni hao minazi mitatu kukuzuia….lakini mbali na vizuizi umeyafikia ila bado maadui hawajachoka kukuharibia….ndiyo maana mbali na kuifikia nyumba lakini bado minazi haijapotea….ni alert kuwa makini
Kwahiyo wewe unatakaje kwa mfano 😅😅kabisa yan kinachonifanya nawaza inawezekanaje? same place! kila kitu sawa